Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,329
- 22,297
Hebu fafanua hapo wakili MSOMI,si wananakala ya hukumu tayari?iMkuu, wanapaswa kufuata hatua nyingine kimahakama kama walivyozianza.
Hebu fafanua hapo wakili MSOMI,si wananakala ya hukumu tayari?iMkuu, wanapaswa kufuata hatua nyingine kimahakama kama walivyozianza.
Wanapaswa kuomba utekelezaji mahakamaniHebu fafanua hapo wakili MSOMI,si wananakala ya hukumu tayari?i
Mkuu Wakili Msomi Petro Mselewa...kuna kitu naona kwenye huu mjadala mnakiruka au mimi ndo sielewi...japo sio mwanasheria lakini nina ubongo wa kutambua...hivi Ruling ikitoka wakili wa mlalamikaji anapewa na wakili wa mlalamikiwa?Wanapaswa kuomba utekelezaji mahakamani
Mkuu,nakala ya Uamuzi hutolewa kwa pande zote. Pande huwajibika kufuatilia nakala zao. Kuhusu kurudishwa kazini au la,Uamuzi wa Mahakama una jibu. Kama imeamriwa fidia tu,italipwa hiyo tu. Nakuwa na ukomo wa kuelezea kwa kuwa sikuwahi kuuona huo Uamuzi.Mkuu Wakili Msomi Petro Mselewa...kuna kitu naona kwenye huu mjadala mnakiruka au mimi ndo sielewi...japo sio mwanasheria lakini nina ubongo wa kutambua...hivi Ruling ikitoka wakili wa mlalamikaji anapewa na wakili wa mlalamikiwa?
Thats means BOT Walikwishapewa maelekezo/ruling imesemaje? kupitia wakili wao?
2.Kama ruling inasema walipwe mafao yao,wakati mwajiri BOT Anasema anataka kuwarudisha kazini...amekubali kuwarudisha kazini,Au Au ni nani anaeamua kuwarudisha kazini mahakama au BOT na kwa utaratibu upi?
Katika hali ya kawaida ukiachana na hilo suala...katika kesi nakala ya hukumu hutolewa pande zote mbili...ina maana mwajiri anakuwa anajua nini cha kufanya kulingana na hukumu aliopewa...linabaki tuu utekelezaji...nani anamjulisha mwajiriwa kama arudi kazini,au alipwe kama nakala imesema kimojawapo na nakala hiyo anayo mwajiri kupitia wakili wake alioichukua masijala mahakamani?Mkuu,nakala ya Uamuzi hutolewa kwa pande zote. Pande huwajibika kufuatilia nakala zao. Kuhusu kurudishwa kazini au la,Uamuzi wa Mahakama una jibu. Kama imeamriwa fidia tu,italipwa hiyo tu. Nakuwa na ukomo wa kuelezea kwa kuwa sikuwahi kuuona huo Uamuzi.
Nani kakudanganya kama nchi hii sheria zinafuatwa ?Mkuu Wakili Msomi Petro Mselewa...kuna kitu naona kwenye huu mjadala mnakiruka au mimi ndo sielewi...japo sio mwanasheria lakini nina ubongo wa kutambua...hivi Ruling ikitoka wakili wa mlalamikaji anapewa na wakili wa mlalamikiwa?
Thats means BOT Walikwishapewa maelekezo/ruling imesemaje? kupitia wakili wao?
2.Kama ruling inasema walipwe mafao yao,wakati mwajiri BOT Anasema anataka kuwarudisha kazini...amekubali kuwarudisha kazini,Au Au ni nani anaeamua kuwarudisha kazini mahakama au BOT na kwa utaratibu upi?
Ni KWELI Uamuzi wa mahakama ndo una majibu...Hakuna anaejua hukumu imesemaje kwenye nakala ....zaidi ya wao wenyewe....tunachokiongelea hapa ni taratibu za kimahakama zinasemaje kwa masuala ya kesi,haswa inapotoka hukumu ili kuweka uelwa/elimu na Sio kuhukumu case study flani ambayo hatuna nakala hapa.Mkuu,nakala ya Uamuzi hutolewa kwa pande zote. Pande huwajibika kufuatilia nakala zao. Kuhusu kurudishwa kazini au la,Uamuzi wa Mahakama una jibu. Kama imeamriwa fidia Ni tu,italipwa hiyo tu. Nakuwa na ukomo wa kuelezea kwa kuwa sikuwahi kuuona huo Uamuzi.