BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

Lakini nadhani kulikuwa na haja ya mwanasheria wao kuipa taarifa BOT kuhusu ugeni huo .

Hapana, kisheria Wamekosea, ilitakiwa Mwanasheria wao ndo awaongoze kisheria hadi kurejea kazini, kwa nini mwanasheria wao hakuwashauri vizuri? mimi nilidhani procedure Zote walizifuata?
 
kweli,waende kwenye kukaza hukumu(execution),BOT wapewe muda wa ku show cause,wakisha show cause hapo ndipo suluhu itapatikana....kwa maana.ya kwamba BOT anaweza kusema yuko tayari kulipa malimbikizo na haki nyingine za watumishi wake kwa mujibu wa maombi ya kaza hukumu.

na hapo pia atasema kama ana nafasi au laaa za kuwarudisha ofisini,kama.hana basi anawapa haki zao wanasepa.

ila siasa muhimu,I repeat
Sasa uko sahihi. Asante Mkuu
 
Halafu hii nchi ndio inajinasibu kwa kujali wanyonge na maskini, unafiki hujitenga na ukweli siku zote. Polei sana hata wale wa East Afrika hawajalipwa mpaka leo nchi ina laana hii,
 
Hawa jamaa mi naona kama wametokea sayari gani sjui......Yani mtu ufe kwa msongo wa mawazo baada ya kufukuzwa kazi!!!?......Inabidi ukaguzi wa vyeti uwapitie haraka sana
 
Halafu hii nchi ndio inajinasibu kwa kujali wanyonge na maskini, unafiki hujitenga na ukweli siku zote. Polei sana hata wale wa East Afrika hawajalipwa mpaka leo nchi ina laana hii,
na hawa ndio wanyonge haswaaa kwa maana ya kuonewa katika nchi yao.

hawa ni masikini haswaaa kwa kuwa wameteseka miaka kwa kosa ambalo hawakulitenda
 
Tatizo suala hili linawekewa siasa sana. Kimsingi, baada ya ile hukumu wale wafanyakazi hawakupaswa kurejea kazini kama walivyofanya. Walipaswa kuomba mahakamani utekelezwaji wa hukumu yao iliyotolewa. Kama wangeomba kuitekeleza kwa njia ya kurejea kazini na BOT kugoma, sheria ingechukua mkondo wake. Walikosea kisheria na kihalisia kwenda kuripoti kazini bila ya kuomba utekelezaji wa hukumu yao kimahakama.
Walipandwa na mzuka mkuu, usiombe kukaa miaka 20 unahangaika mahakamani.
 
na hawa ndio wanyonge haswaaa kwa maana ya kuonewa katika nchi yao.

hawa ni masikini haswaaa kwa kuwa wameteseka miaka kwa kosa ambalo hawakulitenda
hapo ndio utajua viongozi hawatendi wanacho hubiri, wamezoea kushailiwa majukwaani tu.
 
Tatizo suala hili linawekewa siasa sana. Kimsingi, baada ya ile hukumu wale wafanyakazi hawakupaswa kurejea kazini kama walivyofanya. Walipaswa kuomba mahakamani utekelezwaji wa hukumu yao iliyotolewa. Kama wangeomba kuitekeleza kwa njia ya kurejea kazini na BOT kugoma, sheria ingechukua mkondo wake. Walikosea kisheria na kihalisia kwenda kuripoti kazini bila ya kuomba utekelezaji wa hukumu yao kimahakama.

Kwa hiyo mkuu kama wamekosea utaratibu ina maana haki yao waliyopewa na mahakama inakuwa imepotea pia? Execution haiwezi kufanyika tena?
 
warudi mahakamani wakaombe amri ya mahakama ya.kumkamata gavana wa benki kuu kwa kudharau amri halali ya mahakama.

Huu ni unyama wa hali ya juu sana
Halafu kesi itaendelea tena kwa miaka 22 na kwa umri wao, baada ya miaka hiyo watakuwa wamepungua 19 wamebaki 3 tu! Hii elimination method sio ya mchezo.
 
Halafu kesi itaendelea tena kwa miaka 22 na kwa umri wao, baada ya miaka hiyo watakuwa wamepungua 19 wamebaki 3 tu! Hii elimination method sio ya mchezo.
hayo ni madai ambayo wasimamizi wa.mirathi watayaendeleza
 
Back
Top Bottom