BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

BOT yawafukuza waliorejeshwa na mahakama

kwani jumla madai yao kiasi gani....???
Sidhani kama wana madai kwa sasa, yule jamaa aliyepanda bodaboda kuwahi ofisini kuna wakati alihojiwa na Mwananchi comm. akasema baada ya kuishiwa mafao waliyolipwa mkewe alimkimbia.
 
Baada ya mahakama kuona they received unfair dismissal common sense would have been asking BoT iwalipe loss of income, paying other additional financial compensation for damages caused to ppl or families and a hefty government financial penalty to deter others from repeating similar actions.

Lakini kuamuru watu warudi kazini kama mwajiri awataki was just a pathetic ruling.
 
Mbona mapict. Hawajatupia kama wakati wanaenda kureport?
 
Kama utaratibu ndio huo Bot wangetumia busara kuwaeleza utaratibu sio kuwafukuza jamani hizi Kazi ni Mapito tu zina mwisho
 
Mfumo wa elimu wa kitumwa madhara yake ndio haya, kwani walisome bachelor's degree in BOT?
 
Miaka 20 nje ya system unarudi iweje bado hujazoea tu maisha mapya?

Hakuna namna wafukuzwe tu,, au waunde BOT yao mpya.
 
Sababu iliyotajwa ni kuwa hawatambuliwi na BOT .

" BOT hawataki kutupokea , wametufukuza kama mbwa "

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba jumla ya waliorejeshwa na mahakama walikuwa 31 , lakini 11 kati yao walishafariki dunia kutokana matatizo ya msongo wa mawazo uliosababishwa na kufukuzwa kazi .

Chanzo - MwanaHalisi.

Mungu wabariki wahanga hawa .
wakakazie tu hukumu mahakamani ndo njia pekee "application for execution of decree"
 
Back
Top Bottom