BoT yasisitiza ni marufuku kutumia fedha za kigeni kufanya miamala ya bidhaa na huduma nchini

BoT yasisitiza ni marufuku kutumia fedha za kigeni kufanya miamala ya bidhaa na huduma nchini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025.

Kwa mujibu wa Kanuni hizo, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote ndani ya nchi yanapaswa kufanyika kwa Shilingi ya Tanzania. Hivyo basi, ni kosa la kisheria kunukuu, kutangaza au kubainisha bei kwa kutumia fedha za kigeni; kulazimisha, kuwezesha au kupokea malipo kwa fedha za kigeni; au kukataa malipo yanayofanyika kwa Shilingi ya Tanzania.
 
....Wahindi tutawaweza kuwadhibiti na sasa wameongezeka wachina kwa usanii?, India kwao manunuzi unafanya kwa fedha yao, unatoa gamba( Passport) unabadlisha na kununua utakacho kwa fedha yao.
 
Back
Top Bottom