BoT: Wananchi wa Ruvuma wanawazidi kipato Wananchi wa Arusha, Wakazi wa Kagera ndo Masikini wa Kutupwa

Karagwe na ngara mkuu watoto wa kitusi hatari,karagwe maisha ni mazuri sana ,ngara totos ni balaa ila kimaisha wako chini kinganisha na karagwe
Nominal GDP per capital does not necessarily tell someone's standard of living. Ruvuma iko vizuri sana kwenye kilimo cha mahindi, maharagwe, Kahawa, alizeti n.k. Pia over recent makaa ya mawe yanachimbwa na kusafirishwa kwa wingi toka Ruvuma. Inawezekana kabisa zaidi ya asilimia 75 mapato ya mwaka ya mkoa yako mikononi mwa makampuni machache tu, ila kwa sababu taarifa ya kipato cha mwananchi cha mkoa kinaripotiwa kwa wastani inawezekana kabisa hali ikawa hivyo
 
Kwa ujumla,
Kilimo kimedhihirisha kwa ushahidi kuwa kinaweza ku transform maisha ya watu wengi zaidi,
Ndio maana tunaona ukiondoa Dar (of course dar is a special case, the rest of top rich regions ni mikoa ya kilimo)
Kabisaaaaa. Inaudhi sana serikali kuchukulia poa kilimo. Yaan mazao yetu yangepewa thamani tungekua mbali sana. Nikikumbuka jiwe alikataaa tusipeleke mahindi kenya fala yule. Mzee wangu ana mahindi tani za kutosha anasubiri bei ichangamke kidogo ndo auze kwasababu ya mshamba mmoja. Kalazimisha mambo kuwa magumu sana juu ya kilimo wakati mwanga ulishaonekana. Chuki zako binafsi unaleta ujinga kwa taifa tunagharamika. Kilimo na ufugani wa kisasa vipewe kipaumbele. Halaf mbolea nikiangalia bei daah

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mikoa ya Kagera, Ruvuma, Morogoro, Katavi, Mbeya iheshimiwe kwa ardhi nzuri kwa kilimo. Ardhi yenu ni kubwa sana aisee. Lakini kagera sijui kuna mdudu gani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
hoja dhaifu sana hizo acheni mbwembwe za mdomoni chapeni kazi.ni kweli wahaya wako nyumba na wala hawaumbwa kuwa wajasiriamali na hata wakiwezeshwa bado hawatatoboa.sababu wengi sio waaminfu katika biashara ni matapeli na wanapenda shortcut katika maisha.wanachoweza wao ni kujisifu na kujiona wako juu lkn hakuna lolote.huo uprofesa ndo unaofanya uchumi upae na huo ufaulu wa wa watoto wa kihaya.njoo uone kemobosi na kaizerege wanaosoma hapo wanatoka wapi?fuatilia nimabasi mangapi yanayopeleka wanafunzi mikoani wakati wa likizo.hizo tambo ndo zinazoendelea kuwarudisha nyuma wkt mikoa mingingine inachanja tu mbuga nyinyi mbaki na nsomile yenu.
Kijana hebu punguza jazba...

Mbona unaongea Kwa hasira hivyo..


Eti kemebos.. sijui nini..


Wew fanya kazi na ishi maisha yako acha kufuatilia maisha ya watu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kijana hebu punguza jazba...

Mbona unaongea Kwa hasira hivyo..


Eti kemebos.. sijui nini..


Wew fanya kazi na ishi maisha yako acha kufuatilia maisha ya watu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ndugu hawa watu usijisumbue kuwajibu, mtu aliyejaa chuki na wivu bila sababu yeyote juu ya mtu fulani hawezi kukusifia au kukubali hata ufanye lipi.

Pili, hawa wanaoanzisha thread kuhusu kagera, lengo lao nyuzi zao zipate wachangiaji wa kutosha zisidode, kwa kuitaja kagera mleta mada alijua kabisa, wachangiaji watamiminika hapa, tofauti na angeitaja Ruvuma tu.

Tatu, hamna haja ya kuchangia nyuzi kama hizi eti unawajibu, ni kuwaacha tu watoe hasira zao zote juu ya wahaya ili wapate afya ya akili.

Nne, ni kuendelea kuwatia hasira zaidi, kwa kuwaonyesha mazuri, na maendeleo yanayoendelea kagera.

Tano, waanzisha thread wa humu wameshagundua wakitaka kupata attention ya wachangiaji, basi waadike kuhusu wahaya au wachaga. Futulia nyuzi zote zinazohusu wahaya na wachaga hapa JF.

Mwisho watu wa hivi ni kuwapotezea, waache wapambane wenyewe.
 
Nchi ya kambare hii,kwenye huu Uzi naona watu wameanzisha ligi ,kila mmoja anavutia upande wake,
Wahaya /Wachaga wamekuja juu kama moto wa petrol baada ya kuambiwa mikoa yao haina uwezo kimapato
 
Nominal GDP per capital does not necessarily tell someone's standard of living. Ruvuma iko vizuri sana kwenye kilimo cha mahindi, maharagwe, Kahawa, alizeti n.k. Pia over recent makaa ya mawe yanachimbwa na kusafirishwa kwa wingi toka Ruvuma. Inawezekana kabisa zaidi ya asilimia 75 mapato ya mwaka ya mkoa yako mikononi mwa makampuni machache tu, ila kwa sababu taarifa ya kipato cha mwananchi cha mkoa kinaripotiwa kwa wastani inawezekana kabisa hali ikawa hivyo
Basi tuweke rekodi sawa kuwa hakuna uhusiano wa standard of living ya eneo husika na hii ripoti yao,bali wameangalia pato la mkoa kiujumla hapo tutaelewana
 
Kipimo cha GDP kinaacha vitu vingi nje ndo maana sikikubali hata. Ukienda KAGERA utakuta familia nyingi zinakula vizuri, wanavaa vizuri, watoto wanasoma vizuri na passmark zao siko juu sana, wana Furaha ya kiwango cha juu, wamejenga vizuri, zaidi ya 25% ya professors Tanzania wanatoka Kagera. So kwangu mimi mkoa wa KAGERA siyo masikini kabisa. Wahaya wengi wanafanya business za consultancy na online so pengine Siyo rahisi kuwa picked na GDP
Vipato vya hao profesor wote kwa pamoja huwezi linganisha na kipato cha mfanyabiashara mmoja wa Makambako aliyeishia Darasa la 2
 
Takwimu za nchi hii zinavyopikwa unaweza kulala mlango wazi. Kama mwendakuzimu angekua hai Geita ndio mkoa ambao unaongoza kwa kipato na chattle ndio ingekua wilaya inayoongoza.
Mtakumbuka Kuna mwaka shule ya kata ilizipiku St. James, St. Francis, St. Mary's, Feza, Marian, etc. Shule yenyewe iko usweken huko haina hata maktaba.
Kuna siku tuliambiwa tuko uchumi wa Kati wakati watu wengi nawaona wanakula elfu mbili kwa siku.
kwani wanaosoma hizo shule wana akili tofauti na wanaosoma shule zilizoko remote?Issue si ni uwekezaji tu?kama vigezo tunavyovitumia na wazungu wanatumia hivyo hivyo shida ni nn na kama unaona hivyo vigezo haviko sawa tuletee vya kwako tuvitumie.
 
Back
Top Bottom