BoT: Wananchi wa Ruvuma wanawazidi kipato Wananchi wa Arusha, Wakazi wa Kagera ndo Masikini wa Kutupwa

ac
Kagera?!!! Kwa wahaya?
Na mbwembwe zote zile,wasomi wao,wenye hela wao,wanaoishi ulaya wao halafu ndo masikini wa mwisho
achana nao hao mbwembwe kibao na machino mengi.utapeli kwao lini watakuwa na maendeleo.bado akili za hao nshomili kuwa mikoa mingine hakuna akina nshomile.
 
Anguko la zao la kahawa,biashara ya samaki, imefanya Kagera iyumbe, pia hata wao hawajafikiria zao mbadala kama parachichi, maembe, pia hata wao hawawekezi Kagera, nyumbani kwao.

Mwisho ....Bukoba ni wagumu sana kuachia ardhi kwa wageni, mashamba mengi ya ukoo, ukigusa unapata kesi
 
Kipimo cha GDP kinaacha vitu vingi nje ndo maana sikikubali hata. Ukienda KAGERA utakuta familia nyingi zinakula vizuri, wanavaa vizuri, watoto wanasoma vizuri na passmark zao siko juu sana, wana Furaha ya kiwango cha juu, wamejenga vizuri, zaidi ya 25% ya professors Tanzania wanatoka Kagera. So kwangu mimi mkoa wa KAGERA siyo masikini kabisa. Wahaya wengi wanafanya business za consultancy na online so pengine Siyo rahisi kuwa picked na GDP
Nyie kwa ujivuni bana,hii takwimu ya zaidi 25% ya maprofesa uliifanya vipi,hebe tupe vigezo.Maana GDP ni pato la sehemu unagawanya kwa idadi ya raia waliopo hapo,wala hao mapurofesa wako hawachangii ktk hili.
 
Back
Top Bottom