BOT wameniita kwenye aptitude

BOT wameniita kwenye aptitude

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,720
Ni zile post za mwaka jana, wameniambia aptitude itafanyika next week tarehe 15 Alhamis. Kwa wale wadau kaeni tayari tayari maana kama umeambiwa uende na calculator ujue hapo ngoma itakua nzito.
 
...asee jomba kataa iyo post, wanakufaga watu kwenye hilo jengo....
 
asee jombaa Gefu wanakufaje?
 
Last edited by a moderator:
asee jombaa Gefu wanakufaje?

Kivip wanakufa?

...challiii angu tangia lile lijamaa linaitwaga libalali lipotee katika mazingira ya kutatanisha, na lile jingine li amatusi, aseeee ule mjengo nauangalia kwenye kalenda tu. mzee wetu mgimwa ...!!??? loh jombaaa kaa mbali au gusa unate babuu,yamejaa machalii ya vigogo ata ukizuia ma EPA yao yanakusemea kwa dingi aisee...anyway chalii angu we nenda kama unakomaa ila ukumbuke nilisha kupa R.I.P in advance...
 
Ni zile post za mwaka jana, wameniambia aptitude itafanyika next week tarehe 15 Alhamis. Kwa wale wadau kaeni tayari tayari maana kama umeambiwa uende na calculator ujue hapo ngoma itakua nzito.

Ni pm nikusaidie jambo.
 
Ni zile post za mwaka jana, wameniambia aptitude itafanyika next week tarehe 15 Alhamis. Kwa wale wadau kaeni tayari tayari maana kama umeambiwa uende na calculator ujue hapo ngoma itakua nzito.

Kaka twende tukabadili matokeo hakuna cha nani wala nani mwaka huu wameingia choo jinsia tofauti kabisa. Utasikia twende jombaaa utaona
 
Da!! Ugali wa moto na mbono huo hauna uyengu "uyengu kwa wale wanaharakati wa marangu sec 1992 kwa mzee kalikali ,mzee simba , babu doo!! rupepo mzee mashinaa na mwanamao watakueleza" Chunga ze deal uko mangi segadansa pafupi ukileta tofauti jombaaa
 
una haki ya kuitwa kwa sababu jina la ukoo wako tu ni familia ya vigogo fulani hapa bongo wengine wana dili zao dubai huko
 
Back
Top Bottom