Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,516
Mbona fursa tayari wapo walioichangamkia wananunua pesa mbovu nusu Kwa nusu ukimpa 10000 anakupa 5000.Naona **** fursa hapa, inabidi ichangamkiwe.
Mtu unaweza kuwa unazikusanya hizo hela chafu kwa thamani pungufu mfano, hela chafu ya 5000 wewe uipokee kwa kumpa hela safi 4000.
Then ukikusanya nyingi uende BoT ukapewe hela safi.
Nimewaza tu, wazee wa fursa kazi kwao