Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,261
Kwa shortlist iyo ni fair compared to number of walio omba maana mtaani itakua wamejaa sana ukizngatia izo kozi wanafunzi ni wengi sana.Ni noma mkuu..... Hizi kozi zilizokuwa na wanafunzi 3000 chuo zina tabu zake.
Utumishi waliita Candidate 1000+ kwenye iyo iyo kada