BoT tayari wametoa majina ya walioitwa kwenye 'Aptitude Test'

BoT tayari wametoa majina ya walioitwa kwenye 'Aptitude Test'

Human Resource walitangaza nafasi 4 zinahtajika wameita interviewers 445 duuuhh

A3C993CC-35FD-4099-B7A4-40B10F38C757.jpeg
 
Vijana mlioomba kazi Fungueni website ya BOT mnahitajika kwa aptitude Test kuanzia Jumatatu November 01 2021

Sijaona jina lolote la mtoto wa kigogo kama mlivyofikiria,

Nawatakia vijana maandalizi mazuri
Hii serikali huijui mzee

Hapo vimemo vimeshatembea sanaa
 
Vijana mlioomba kazi Fungueni website ya BOT mnahitajika kwa aptitude Test kuanzia Jumatatu November 01 2021

Sijaona jina lolote la mtoto wa kigogo kama mlivyofikiria,

Nawatakia vijana maandalizi mazuri
Mhagama, Maghembe, Chiligati to mention a few inaonekana michakato imefanyika na itakamilishwa vizuri tu!
 
Kwa baadhi ya ubini nilioona hapo mtanange utakuwa mkali!

Mhagama, Maghembe, Chiligati to mention a few inaonekana michakato imefanyika na itakamilishwa vizuri tu! Kuna watu watasindikiza wenzao ofisini [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mhagama, Maghembe, Chiligati to mention a few inaonekana michakato imefanyika na itakamilishwa vizuri tu!
Duh! Haya mambo haya, acha tu.

Kijazi.
Warioba.
Mangula
Killango.
Chalamila
Nchimbi
Cheyo.
......


Wengine wamejirudia mara mbili mbili.
 
Hii serikali huijui mzee

Hapo vimemo vimeshatembea sanaa
Huu ni kweli kabisa.Ajira za walimu mwaka huu waalimu ,Kuna binti alikuja kujitolea shule fulani mkoani Mwanza alikuwa ndo kwanza amemaliza amewakuta wanajitolea zaidi ya miaka 2 wapo hapo !Mjomba wake ni mtu mkubwa serikalini .Huwezi amini kimemo kilitembea mpaka kwa UMMY MWALIMU wakati huo UMMY anasema hakuna kimemo lakini alipokea hicho kimemo na akakifanyia kazi.Yule binti alipangia ajira hapo hapo kwenye hiyo shule.Daaaaaah tulichoka
 
Mambo yamebadilika sana

Enzi zetu kazi kama hizi wanaangalia GPA za watu shule na wanapelekwa moja kwa moja kazini

Zamani mtu mwenye GPA kubwa kila Faculty siku hizi mnaiita college mara sijui School hasa wale waliosoma Udsm miaka hiyo ilikuwa anachagua awe Lecture au aende BOT

Mimi wakati huo wenzangu wanasoma Udsm nikaenda zangu Kuwa mwana CCM, Nilitake Risk lakini the higher the Return kwa sasa
Tushachukua kadi za electronic tayari na vyeti tushavipanga
 
Back
Top Bottom