Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,437
- 3,261
Maskini my 12M sijui kama itatoka (joking).
usijali sana mkuuUlisinzia kidogo
Na walivyo wabishiNaogopa hata kuwafowardia watu maana watakufa kwa pressure
Kuna bit coin pia mkuu....hebu nayo imulikwezipo nyingi tu wazimulike si d9 pekee
Hamna namna...wafowadie tuu...Naogopa hata kuwafowardia watu maana watakufa kwa pressure
Kwenye Red, Wewe ni Muongo , haina hiyo unayoiita miaka na miaka, imeingia Bongo mwaka jana tu tuseme haijafikisha hata mwaka mmoja,Hii kitu ina miaka na miaka na sijawahi kusikia kwamba mtu analalamika ameibiwa. Kwa hyo ni vema wange eleza ni watu gani waliowekeza huko walio lalamika kuibiwa . vinginevyo ni chuki tu za kutaka wachache ndio watajirike and the rest wabaki . Uzuri wake hii kitu inachezwa mtandaoni sijui kama wataweza. Miezi mitatu ela yako imerudi sasa hapo mtu anatapeliwaje. Mfano mm mwenyewe huu mwezi wa sita , nimerudisha ela yangu miezi mitatu ya mwanzo na sasa nimeshakula faida ya 2m miezi miwili na bado saba. Hapo wakisitisha huduma zao utasrmaje nimeibiwa