BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

Noted
Taarifa zilizopo ni kuwa *withdraw ya dollar kwenda Bitcoin kwa sasa imesimama*
Confirm about that issue please
 
Kwani D9 ndio nini?
Lovebird
Huu ni mchezo maarufu ambao Watanzania wenzetu wanacheza online
....kiwango cha juu ni almost 4.8M kwa mkataba wa wiki 52
Kila wiki wanawekewa $170. Hivyo kwa wiki 4 wanapata $680 minus $50 ambayo wanasema ni kusimamia Account

Kifupi ni hivyo Princess R...
 
Kuna ukweli au ni matapeli?
 
Natamani waandishi was habari was Tanzania waende kuona kesho kitachotokea huko Uganda,maana ni sherehe kubwa za D9 zinafanyika hapoo na watu wataondoka na magari nna zawadi kemkem

Hizo picha ni maandalizi tuu.
Endelea kuzubaaa ukisema ni deci

Kuna advocate alikua akielezea kuhusu D9 on NTV ngoja niwarushie video,mwenye macho aambiwi Tazama
Mkuu! Sasa tunajiungaje kwa D9 maana mawakala kwa TZ hawaonekani, D9 club Tz App mmeifuta sasa tufanyaje? Kujiunga kwa huku Tz
 
Back
Top Bottom