BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,009
- Thread starter
- #21
Yaani mibilioni inakuja halafu hamna mtu wa kuichukua kwa haraka kwa sababu kesho Maulid?
Maulid watu si wanaenda kula mpunga!!!! nani aache kwenda kula mpunga na kupumzika ili aende Airport kupokea mzigo wenye thamani kubwa kwa nchi. Watu wangeweza kulipwa hata overtime kuupokwa mzigo huo. Hii inaonyesha jinsi kulivyokuwa na poor planning pale BoT.