Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,429
Jamaa yangu wa karibu ameajiriwa Kampuni moja katikati ya Jiji ambayo salary yake inapitishia DTB Bank ni miezi kadhaa sasa toka ameajiriwa.Anasema hii si Bank rafiki kabisa kwa wafanya kazi.
Kwanza haitoi mikopo kwa wafanya kazi tofauti na Banks nyingine.lakini pia imekuwa mara kadhaa ikichelewa kuingiza mishahara ya wafanyakazi kwenye accounts zao.
Anasema wao toka week iliyopita kampuni yao imepeleka mishahara bank lakini mpaka hii leo hawajaingiziwa mshahara kwenye account.
Nashangaa katika ulimwengu kama huu Bank hii inawezaje ku survive? Au inawateja wake maalum inaowategemea? Maana si kwa ujeuri na kiburi hiki.
BOT nadhani pitie hizi Banks pia mziangalie maana haya mambo hayana tofauti na kikokotoo kipya kwa wafanyakazi.mfanya kazi anapaswa apokee mshahara wake kwa wakati.
Kama mwajiri katimiza jukumu lake kwa nini Bank icheleweshe? Huku pia ni kukwamishana kimaendeleo.