Kwani Mkuu Hujui wenye m,m NI wachache sana, wengi sana NI wenye buku na buku mbili?Kwani sasa hivi mnazipata wapi?
Ni ngumInaweza! Sema Kama hujasoma uchumi unaweza bisha mpk asubuhi! Ila nenda Google utapata list ya nchi zilizoondoa 0 moja kwenye currency zao
Huku mtaani hakuna kitu kinasumbua kama chenji.
Watu hawauzi kisa kakosa chenji au auzunguke wee.
5000 na 10000 ni shida,
Mbadala wa efu kumi mprinti 2000 na noti mpya ya 3000 ziwe nyingi za kutosha bila kusahau 500 na 1000.
Chenji ni tatizoo.
Na njia sahihi na ya ukweli ya kujenga uchumi ni wananchi kuchapa kazi kwa nguvu, serikali kutunga sheria na Sera za kusimamia uchumi, sio kutunga sheria na Sera na kutumia kodizetu kudhibiti wapiga domo kwenye mitandao na wapinzani, badala ya kutumia muda kupanga kutuletea maendeleo.Tukuze uchumi tuishushe exchange rate ya dola, hapo ndo tutaweza kuiondoa elf 10 tubaji na hzo ndogo ambazo zitakua na nguvu ya elf 10
Ukienda bank kutoa mil 5 utapewa kifurushi hadi ukimbie.Huku mtaani hakuna kitu kinasumbua kama chenji.
Watu hawauzi kisa kakosa chenji au auzunguke wee.
5000 na 10000 ni shida,
Mbadala wa efu kumi mprinti 2000 na noti mpya ya 3000 ziwe nyingi za kutosha bila kusahau 500 na 1000.
Chenji ni tatizoo.
Mtaji broKama uko serious na biashara inabidi uchukue chenji benki. Wahindi na watu wengine serious huwa wanafanya hivyo.
Na sigara ununue kuanzia mbili?wale wauza maji kuanzia ndoo 5!jamaa kapagawa huyoKwamba hata pakti ya majani ya chai iuzwe mia tano
Shilingi 20, 10, na shilingi 5 zirudishwe kwenye mzunguko...
Pipi..Alafu unazitumia kununua nini?
Dollars ($) ni muongozo wa pesa Duniani akifatiwa na Euro ( [emoji387]) na Pound ([emoji386]) izo Ni pesa zinafanyakazi kwy Manunuzi kuliko pesa zingine apa dunianiHapana Mkuu mbona USD zinaishia 100.Cha msingi lazima uchumi wetu uwe Imara huwezi kufanya hicho anachotaka mleta Uzi kwa uchumi wetu huu.