ugumu wa kupatikana chenji upo dunia nzima hata marekani na ulaya kuna ugumu wa kupata chenjiUgumu wa kapatikana chenji inashiria nini?
Ova
huwezi ukaingia mahala na hiyo dola mia yao, ukaagiza kitu cha dola 1 halafu usilete shida ya chenjiUgumu wa kapatikana chenji inashiria nini?
Ova
Mi nashauri wangepunguza sifuri moja katika kila hela
tatizo si uwepo wa elfu 10, tatizo ni uwepo wa mia , mia mbili na mia tano nyingi sana katika mzunguko wa fedha kuliko mzunguko wa elfu 1, 2 na 5 na hivyo kufanya upatikanaji wa 10 kuwa mdogo sana na hata upatikanaji wa cheji kuwa wa shida kwa elfu 10 kwa sababu pesa za kuicheji elfu 10 zinakuwa zina mzunguko mdogo.
suluhisho
1. serikali ingeanza utaratibu wa kupunguza mia 1, 2 na 5 kwenye mzunguko ili zibaki hizo nyingine ndo ziwe nyingi.
2. bidhaa zingeanza kuuzwa kuanzia mia 5, kwa maana ya kwamba uwepo wa bidhaa za mia moja zinafanya mzunguko wa mia tano tu wenyewe kuwa wa shida sembuse 10000
3. watu wanatakiwa kufundishwa kuijua thamani ya elfu 10 kuliko thamani ya mia moja, hii itasaidia watu kuachana na mia na kutafuta na kutumia elfu 10
Halafu bank wakishakupa hizo noti za 500 unazipeleka wp kama hazitumiki kwenye manunuzi?Zinaishia 100 kwa sababu zina thamani.Zetu hazina thamani.Hata euro ipo hadi 500 lakini kuwezi kuitumia kwenye manunuzi, hata kwenye ATM mwisho kutoka ni 50 euro.Ila ukiitaka noti ya 500 inabidi uende bank uombe wakupe bills za 500.
una pointi ya msingi na ni kitu kilichofanywa na zambia, walifanya 'currency rebasing' (haiitwi kupunguza sifuri, wanaita currency rebasing)wakipunguza sifuri moja kwa kila noti itakuwa kama ifuatavyo:-
10,000=1000
5,000=500
2,000=200
Tatizo itabidi tutembee na magunia ya hela na noti kiukweli zitachakaa mno.Sababu hela yetu dhidi ya dola iko chini.Kwa muktadha huo noti ya elfu10 na elfu5 haiepukiki especially for big transaction.
UMEJIBU VEMA,uchumi wa nchi ndio kitu kikubwa hapa jirani zetu Zambia wamelifanya hili na Kwacha yao inathamani na haina 00000 za ajabu,pls my no 1 chukua shilling yetu na tuipandikize kwa Zambia kwacha,au PulaHapana Mkuu mbona USD zinaishia 100.Cha msingi lazima uchumi wetu uwe Imara huwezi kufanya hicho anachotaka mleta Uzi kwa uchumi wetu huu.
Siku hizi noti zote ni shida kupata chenji kutokana na uhaba wa maghwala. Njia pekee ni kuwa na maghwala mengi kutokana na hayo kuwa kwenye biashara zaidi.Huku mtaani hakuna kitu kinasumbua kama chenji.
Watu hawauzi kisa kakosa chenji au auzunguke wee.
5000 na 10000 ni shida,
Mbadala wa efu kumi mprinti 2000 na noti mpya ya 3000 ziwe nyingi za kutosha bila kusahau 500 na 1000.
Chenji ni tatizoo.
Hizi zinasaidia ubebaji hasa kwa mtu anayesafiri .Badala ya kubeba noti za 50 50 unachukua hizi.Na kwenye bureau de change unapata change nzuri ukiwa na hizi kuliko noti za 50 au 20.kwa hiyo zinachukuliwa na ma bank au bureau de change lakini kununulia vitu mitaani hawazichukui.Ni kwa usalama na ni sheria za nchi.Halafu bank wakishakupa hizo noti za 500 unazipeleka wp kama hazitumiki kwenye manunuzi?
Sijafananisha mkuu nilikuwa natoa tahadhari najua kabisa dollar inaanza na cent.Usifananishe dollar na sh.
Dola inaanza na senti
Hapana, thamani inabaki vilevile maana muundo wa hela na matumizi hautabadilikawakipunguza sifuri moja kwa kila noti itakuwa kama ifuatavyo:-
10,000=1000
5,000=500
2,000=200
Tatizo itabidi tutembee na magunia ya hela na noti kiukweli zitachakaa mno.Sababu hela yetu dhidi ya dola iko chini.Kwa muktadha huo noti ya elfu10 na elfu5 haiepukiki especially for big transaction.
Haya mawazo ni ya mchumi wa Madabwida huko! Yaani pesa ndogo ziondolewe?tatizo si uwepo wa elfu 10, tatizo ni uwepo wa mia , mia mbili na mia tano nyingi sana katika mzunguko wa fedha kuliko mzunguko wa elfu 1, 2 na 5 na hivyo kufanya upatikanaji wa 10 kuwa mdogo sana na hata upatikanaji wa cheji kuwa wa shida kwa elfu 10 kwa sababu pesa za kuicheji elfu 10 zinakuwa zina mzunguko mdogo.
suluhisho
1. serikali ingeanza utaratibu wa kupunguza mia 1, 2 na 5 kwenye mzunguko ili zibaki hizo nyingine ndo ziwe nyingi.
2. bidhaa zingeanza kuuzwa kuanzia mia 5, kwa maana ya kwamba uwepo wa bidhaa za mia moja zinafanya mzunguko wa mia tano tu wenyewe kuwa wa shida sembuse 10000
3. watu wanatakiwa kufundishwa kuijua thamani ya elfu 10 kuliko thamani ya mia moja, hii itasaidia watu kuachana na mia na kutafuta na kutumia elfu 10
USD ni Sawa na Tshs ngapi?Hapana Mkuu mbona USD zinaishia 100.Cha msingi lazima uchumi wetu uwe Imara huwezi kufanya hicho anachotaka mleta Uzi kwa uchumi wetu huu.
Milioni uipate wapi?Elfu mbili mbili ? Million si utaibeba kwenye kapu
USD ni Sawa na Tshs ngap
[/QUOTE
1USD ni sawa na sh 2355 Mkuu
Kama uko serious na biashara inabidi uchukue chenji benki. Wahindi na watu wengine serious huwa wanafanya hivyo.
Pesa haiondolewi hivihivi kwenye mzunguko bila sababu za msingi, sababu yako haina mashiko mkuu.