Boss wangu simuelewielewi!!!

Kwani unadhamira gani? Kama mama ni mtu mzima, na wewe ni mtu mzima, je kwa nini unashindwa kuongea na mama? Inaonekana, unamwogopa huyo mama kwa kuwa ni boss wako, na pengine, anazo habari nyingi juu yako.
Weka u-bosi pembeni, funguka kama mtu aliyekomaa akili. Ukikaa kama zoba, utakatwa kidizaini.
 
Habari wana jf.
Ninafanya kazi ktk benki moja hapa dar,na ktk tawi letu kuna meneja ambaye ni mama mwenye binti mmoja ambaye ni mwanafunzi chuo fulani hapa jijini.Huyu binti pindi yupo chuo alikuwa na tendency yakupitia pesa ya kula hapa ofisini,na mama yake kama hayupo,kidogo mimi nilikuwa nampatia.Sasa kadiri siku zinavyokwenda,boss wangu huyu huja ofisini kwangu,nakuanza kusimulia mambo ya binti yake.Mara binti yangu vile,mara binti yangu hivi,mara binti yangu anatabia njema,mara binti yangu.....eeeenh!!!yaaani maneno kedekede.Imekuwa ni tabia sasa,kila siku ofisini lazima anieleze habari za binti yake.Mimi naona kama vile anamnadi kwangu,ila bado sijamsoma vizuri kwanini anafanya hvyo.Au kwa vile nilishamtonya kwamba mimi ni bachela na sina mwanamke wa aina yoyote.?Mimi nahisi mama anataka anniconect ki intelijensia kwa binti yake?provided that huyu binti namchukulia kama dada yangu tu,na sijawahi kudate nae.Ebu nijuzeni wataalam wa mambo haya,kuna nini kinaendelea hapa?

Ulivyojieleza, inaonyesha unapigwa short teller kila siku!
 
sUbiRi waKulimiT vIzuRi Hapo KuaNzIa nYumBaNi haDi KaZini.. nA viLe boSs aNakaJua kaMsHahAra kaKo uTanYooka tu.. hApaNa kuPiGa cHeNga... aNyWay kUbaLi tU bOss AtaKuPanDisHa cHeo na vIjeMbe vIanZe haPo kAzIni.... KuFaNya Kazi Na mAma MkwE yaTaKa mOyO... mAhuSiaNo na JamAa zAkO hApO job laZma yAbaDiliKe tU....!!!! kUoneAnA aIbu kWinGi na HisiA nyiNgi kWa kiLa utAloFanyA lItakoNecTiwa KwenYe ukWe na UKamwanA... cHa msInGi WacHuKuliE kAtiKa mAhusiAnO yA kaWaiDa na uHakikiShe na wAo waNaTamBua iVo... hiZi NdoA uWe mbAli nA mAmkwe au baMkwe uTakuA hUru... KaMa binti uMeMpenDa fAnYa mChakatO Then UhaMie tAwi jInGine aU mKoani kAmA mTaKua kAtiKa nDoa.
 
We mapumziko unamdhalilisha mwalimu wako wa Mwandiko..
 
Last edited by a moderator:
mWaLimu wAnGu wA mWandiKo aLitoKomeA bUngeNi.. nIliBahaTiKa kuMuoNa siKu ile ya "pUriZentEshEni" aKiHuTubiA kuHusu muUnGano wA pEmbA na zimBabwe...!!! nIlikumBuka sAnA enZi ziLe...!! nasKia aNa mpAnGo wa kuLeTa na diVisHeni siKsi, hApo na mImI niTarudi sHule niEndelee na mEmkwa yAnGu. tEna saFari hii na mimi niOmBe mKoPo pAlE bOdi iShu si Ni kuRudiSha tu??
 
acha nafas ya huyo mama je nafs yako wewe unamuaonaje je anafaa kua mkeo means kitabia, sura na mambo mengne!! so nafkir ni akil yako kuchagua kama uko tayar kudate nae au lah!! mana tunaeza kukushaur kumbe we mwenywe walaaa huna mpango na huyo dada yako wa hiari!!!

merry christmass!!
 
.....aaahhh bana, ulimjali binti yake naye anajali ku share na wewe mawili matatu.
tame your mind bro, isijekukuharibia Career..

Habari wana jf.
Ninafanya kazi ktk benki moja hapa dar,na ktk tawi letu kuna meneja ambaye ni mama mwenye binti mmoja ambaye ni mwanafunzi chuo fulani hapa jijini.Huyu binti pindi yupo chuo alikuwa na tendency yakupitia pesa ya kula hapa ofisini,na mama yake kama hayupo,kidogo mimi nilikuwa nampatia.Sasa kadiri siku zinavyokwenda,boss wangu huyu huja ofisini kwangu,nakuanza kusimulia mambo ya binti yake.Mara binti yangu vile,mara binti yangu hivi,mara binti yangu anatabia njema,mara binti yangu.....eeeenh!!!yaaani maneno kedekede.Imekuwa ni tabia sasa,kila siku ofisini lazima anieleze habari za binti yake.Mimi naona kama vile anamnadi kwangu,ila bado sijamsoma vizuri kwanini anafanya hvyo.Au kwa vile nilishamtonya kwamba mimi ni bachela na sina mwanamke wa aina yoyote.?Mimi nahisi mama anataka anniconect ki intelijensia kwa binti yake?provided that huyu binti namchukulia kama dada yangu tu,na sijawahi kudate nae.Ebu nijuzeni wataalam wa mambo haya,kuna nini kinaendelea hapa?
 
usichezee bahati hiiyo kamata kitu na box
ila msome kwanza binti na mama ujue dhumuni lake#isije kuwa amekuchukulia kama mwanae but at the same time mkwe
kina mama wana akili sana ameshakusoma akaona tabia zako njema
kaona umetulia,una busara angependa binti yake awe mkeo
Mama sio mjinga ampoteze mwanae kipenzi...
 
Akili yako iko juu Sana mkuu. Hivi kweli haya ni maswali ya kuulizana kweli? watu wamelipia kumbi na vinywaji vya kufa mtu. "kisha swali (uko tayari kuolewa na huyu?'")
!
!
umeuliza swali kama wanaloulizwaga kanisani...umekubali kumuoa au kuolewa na huyu?
we watu wametoka huko na wamechangishana na suti wamenunua halafu unawauliza kama wako tayari kuoana
 
♡♡♡♡

Sasa kiongozi ,huyo binti kashapata ela ya chakula?
Hebu niPM namba zake nikusaidie kuendelea ulipoishia.

Najitafutia mkopo mie.

♥♥♥♥
 
Back
Top Bottom