Boss wangu simuelewielewi!!!

Cruel mpole

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
282
0
Habari wana jf.
Ninafanya kazi ktk benki moja hapa dar,na ktk tawi letu kuna meneja ambaye ni mama mwenye binti mmoja ambaye ni mwanafunzi chuo fulani hapa jijini.Huyu binti pindi yupo chuo alikuwa na tendency yakupitia pesa ya kula hapa ofisini,na mama yake kama hayupo,kidogo mimi nilikuwa nampatia.Sasa kadiri siku zinavyokwenda,boss wangu huyu huja ofisini kwangu,nakuanza kusimulia mambo ya binti yake.Mara binti yangu vile,mara binti yangu hivi,mara binti yangu anatabia njema,mara binti yangu.....eeeenh!!!yaaani maneno kedekede.Imekuwa ni tabia sasa,kila siku ofisini lazima anieleze habari za binti yake.Mimi naona kama vile anamnadi kwangu,ila bado sijamsoma vizuri kwanini anafanya hvyo.Au kwa vile nilishamtonya kwamba mimi ni bachela na sina mwanamke wa aina yoyote.?Mimi nahisi mama anataka anniconect ki intelijensia kwa binti yake?provided that huyu binti namchukulia kama dada yangu tu,na sijawahi kudate nae.Ebu nijuzeni wataalam wa mambo haya,kuna nini kinaendelea hapa?
 
MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,289
2,000
nakushauri umwoe huyo binti bila shaka atakufaa na kuwa mke mwema
Lakini ni vema ukamchunguza mwenyewe kuliko kusikia ya kuambiwa na mkwe wako
KAA CHONJO
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,024
1,500
Huelewi nini sasa na umeelezea mkasa mzima? Unataka tukupe 'Go ahead?'

Jipe mwenyewe.
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
wewe mtazamo wako ukoje..kama upend kuskia hizo habali si umkate kauli huyo mama..nalako la moyoni unaogopa tu kusema
 
Cruel mpole

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
282
0
Huelewi nini sasa na umeelezea mkasa mzima? Unataka tukupe 'Go ahead?'

Jipe mwenyewe.

dah!naona kama itakuwa ngumu kidogo,coz sina feelings za mapenzi juu ya huyu binti,na kubwa zaidi bado sijamsoma mama huyu analengo gani hasa,na hajawahi kuniambia openly kwamba binti yake kanipenda.Ila naona mambo yote anayosimulia yanaelekea huko huko,kwamba binti yake kanipenda.Sasa si bora awe wazi kabisa,kuliko kuniweka njia panda,then nikishawishika kudate nae aje anigeuke tena?bora awe muwazi tu.
 
Chocs

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
8,239
2,000
Inawezekana hana lengo lolote ila labda hana story zingine zaidi ya kuhusu bintiye
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,236
2,000
nakushauri umwoe huyo binti bila shaka atakufaa na kuwa mke mwema
Lakini ni vema ukamchunguza mwenyewe kuliko kusikia ya kuambiwa na mkwe wako
KAA CHONJO
MWANAKA vipi tena? Unamshauri amwoe mwanafunzi unataka aishie jela? Mama yake anachotaka amwachie kazi ya kusomesha kwani anajua mshahara wa huyo kijana unatosha kumsomesha mwanae na kumpa starehe nyingine
 
Last edited by a moderator:

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Sasa hapo kuna kitu unataka kuja wakati kila kitu kiko wazi,ww kama mtoto yuko poa fanya mambo,mama atakupigia pande kwa wakubwa zaidi upandishwe na cheo
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,688
2,000
Mama kishaona wewe ni poyoyo mtaji wa town, ndio maana analazimisha ndoa na mwanawe ili wakupelekeshe hadi umsahau mama yako mzazi. Mi ilishawahi nipata hiyo majangazzzzz
 
theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
iv kweli na i ni mada yakuletwa na mwanaume?mbona kila ki2waz ati aniweke waz! kama umpend bnt piga kaz acha kuangaisha kichwa! alafu kama unapenda sifa iv!na uwenda mama hata hana ilo wazo wacwac wako2!,naukute bint anaemchumba tayar.
 
Shakidinkili

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
459
225
Mwenye macho haambiwi tazama. Ikiwaka mulika na ikizimika papasa. Nunau mbuzi ndani ya gunia mengine utajulia mbele kwa mbele.
 
Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
195
Habari wana jf.
Ninafanya kazi ktk benki moja hapa dar,na ktk tawi letu kuna meneja ambaye ni mama mwenye binti mmoja ambaye ni mwanafunzi chuo fulani hapa jijini.Huyu binti pindi yupo chuo alikuwa na tendency yakupitia pesa ya kula hapa ofisini,na mama yake kama hayupo,kidogo mimi nilikuwa nampatia.Sasa kadiri siku zinavyokwenda,boss wangu huyu huja ofisini kwangu,nakuanza kusimulia mambo ya binti yake.Mara binti yangu vile,mara binti yangu hivi,mara binti yangu anatabia njema,mara binti yangu.....eeeenh!!!yaaani maneno kedekede.Imekuwa ni tabia sasa,kila siku ofisini lazima anieleze habari za binti yake.Mimi naona kama vile anamnadi kwangu,ila bado sijamsoma vizuri kwanini anafanya hvyo.Au kwa vile nilishamtonya kwamba mimi ni bachela na sina mwanamke wa aina yoyote.?Mimi nahisi mama anataka anniconect ki intelijensia kwa binti yake?provided that huyu binti namchukulia kama dada yangu tu,na sijawahi kudate nae.Ebu nijuzeni wataalam wa mambo haya,kuna nini kinaendelea hapa?

Vipi huyo mama analipa lipa? Nakushauri anza naye yeye
 
MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,820
2,000
Hiyo ni promo....kama uko interested soma ramani za huyo binti, ama sivyo siku nenda kamwage umwambie kuwa mchumba wako anadharura anakuhitajia, muhimu umpe hint kuwa unamtu.......atapunguza hizo promo
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,548
2,000
Watu wengine bwana, pichu wameshawavulia unataka uonyeshwe na papuchi iko sehemu gani au?
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,206
2,000
!
!
umeuliza swali kama wanaloulizwaga kanisani...umekubali kumuoa au kuolewa na huyu?
we watu wametoka huko na wamechangishana na suti wamenunua halafu unawauliza kama wako tayari kuoana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom