Boss wangu katukanwa

Nimejifunza mengi juu ya hili na nimepata faraja na ushauri mzuri tu ambao nitaufanyia kazi.
Kulileta hapa imenipunguzia hasira nilizokuwa nazo na imenipa mtizamo mpya juu ya uhusiano wetu. So sikama nimepoteza muda mkuu ni megain sana.

Njoo na story mingine basi bwashee!
 
hawezi kukurupuka na kuanza kuwatukana watu bila sbb lazima kuna kitu kinaendellea hapo,
tuweke wazi ili tuweze kutoa nasaha zetu na mi siwezi kumuita kichaa sbb sijui alikuwa ktk khali gani mpaka anaamua kuwatukana na tukumbuke kuna watu wakiwa na hasira anaweza fanya lolote hata bila yeye mwenyewe kujitambua so mtoa mada unaweza tujulisha nini chanzo hadi anaanza kuwatukana
 
Bwana NATA....kama amefikia hapo, achana naye......mtoto atatafutiwa utaratibu wa kulelewa hata kama na shangazi zake..akumulikaye mchana, usiku atakuchoma wallahi tena...
 
Bwana NATA....kama amefikia hapo, achana naye......mtoto atatafutiwa utaratibu wa kulelewa hata kama na shangazi zake..akumulikaye mchana, usiku atakuchoma wallahi tena...
muoga wa kuchomwa weye..sikuwa najua atiii!
 
Nimejifunza mengi juu ya hili na nimepata faraja na ushauri mzuri tu ambao nitaufanyia kazi.
Kulileta hapa imenipunguzia hasira nilizokuwa nazo na imenipa mtizamo mpya juu ya uhusiano wetu. So sikama nimepoteza muda mkuu ni megain sana.

Hajui mipaka yake sio?
Act a bit tough....ataelewa asee....she crossed the limits....
Infact anapaswa kwenda kumuomba boss wako msamaha, in person!
 
Mpe darasa la kuwa mstaarabu na kujiamini ukiona haelekei piga chini. Wivu ukizidi ni kero.
 
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .

Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!

ni wewe uliyemwandalia mazingira ya kutokukuamin

kaa nae chn mweleze jins ulivyo na utoe doubt zako alizokuwa nazo juu yako
then mwambie aisirudie tena

nenda kwa bos mpe situation ilivyo ataelewa tu

mwambie mkewangu akujua km wewe ni bos wangu katukana kila mtiu kwa cm yangu

m sor
aitarudia tena

MTOE WASIWASI MKEO...NI WEWE ULIYESABABISHA AWE IVI...USIMPE TASHWISHWI MPZ WAKO
 
Boss wangu ni muungwana sana .
Ni zaidi ya Ruth wa kwenye bible.
 
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.Matokeo kanitukania boss wangu . Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
Ktk management, moja ya principle ambazo max weber alipropose ni ile principle ya "impartiality or impersonality" hapa namaanisha usichanganye shughuri zako binafsi na kazi, mume ni shughuri binafsi, ni tatizo/janga laka mwenyewe, wewe binafsi tofauti na ofisi, mtafute boss wako umwombe msamaha km utavyowaomba wengine waliotumia msg na kupigiwa simu na mumeo!usimtreat km boss wako kwa hili!
 
Nasapoti mawazo ya RR hapo juu
Mkeo kakosea na anapaswa kulikiri hilo
Kuwa mwanaume,muonyeshe kuwa hujaridhishwa na hicho kitendo na mkemee asirudie tena
She has to apologise kwa the she boss
 
kaa na mzazi mwenzako mkanye hiyo tabia aliyofanya imevuka mipaka, mpe adhabu ya kuwaomba msamaha wote aliowatukana ili siku nyingine asirudie tena
 
Kichaa huyo, iga mfano wangu piga chini, wivu wa kipuuzi kama huo haujengi, unakunyima Peace of Mind tu.
 
Amekosea sn na maybe alihsi una mahusiano pembeni, kwa kushindwa kutrace pole pole akachagua majina ya kike na kuwatukana. I thnk ana wasiwasi na kum2liza kaongee nae mweleze alilofanya sio la kistarabu na mweleze wazi amekushushia heshma hata kazini. Km ni msikivu ataelewa ila km ana psycho disorder atarudia na hapo unatakiwa umrudishe kwao. USIMPIGE WALA USIMSEMESHE KWA UKALI, KWAN UTADEVELOP MAMBO MENGNE BURE!
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa, sio wakurya wanaopiga wake zao. tatua matatizo yako na huyo mzazi mwenzako ,ambaye amediriki kumtukana boss wako ,nasio kudhalilisha WAKURYA
 
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .

Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
Haiko clear, so unataka ushauri kwa kuwatukana wanawake wenzako au boss wako? amewatukana kwa kosa gani? nini kilichopelekea awatukane? fafanua tuelewe haijakaa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom