Boss wangu katukanwa

Mkuu NATA...kweli kabisa unatuambia huna mchango kwenye huu uamuzi wake!??
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa, sio wakurya wanaopiga wake zao. tatua matatizo yako na huyo mzazi mwenzako ,ambaye amediriki kumtukana boss wako ,nasio kudhalilisha WAKURYA

Samahani kama nimekukwaza mkuu
Lakini nasikia hawa watu wanawanyolosha sana hawa wanawake vurugu kwa kichapo.
Sina maana hiyo yako! Ni kwania njema tu na kwaheshima yakuwafagilia wakurya.
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuwavyo!nafikiri huyo mke wako umemlea vibaya ndiyo maana amekuabisha sasa!pole sana!
 
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .

Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!

Pole sana, yamewahi kunikuta some 10 years ago. Sitakaa nisahau maana ilikuwa ni aibu kwa baadhi ya watu waliopigiwa simu.

Tiba
 
Hujasema ulimkwaza nn hadi afikie uamuzi huo. Naamini yeye sio chizi iko sababu. Pengine umemwonyesha weye ulivyo kicheche uzalendo ukamshinda. kama vipi, mpige chini wengine watadaka!

hata kama kamkwaza vipi, hatakiwi kupigia third part, hiyo tabia ni mbaya sana.................. si unaongea na mumeo? sasa hao wa nje watakusaidia nini? hiyo tabia inanikera sana, natamani kupeleka ward ya vichaa watu wote wanaofanya hivyo...................... tuheshimu wenzetu jamani.....
 
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .

Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!

Nakushauri ujifunze kuwa na hasira kidogo na kuweka mipaka ya nini anaweza kufanya au kutokufanya. Kwa mafunzo zaidi unakaribishwa kwenye chuo changu cha wanaume kilichopo wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara. Utapata maelezo zaidi baada ya kujiunga na chuo. Ila somo la kwanza ni kutahiriwa bila ganzi kama bado una mkono wa sweta. Hii inasaidia sana kushtua ule mshipa wa hasira kama umelala au umelegea.
 
Samahani kama nimekukwaza mkuu
Lakini nasikia hawa watu wanawanyolosha sana hawa wanawake vurugu kwa kichapo.
Sina maana hiyo yako! Ni kwania njema tu na kwaheshima yakuwafagilia wakurya.

Usihamishe mada kwa wakurya. Kimsingi umeonyesha udhaifu mkubwa sana katika kumdhibiti huyo unayemwita mzazi mwenzako kiasi cha kuona ana haki ya kuchukua simu yako na kutukana kila mtu anayedhani ni mwanamke mwenye namba katika simu yako. Kuna mipaka katika kila mahusiano bila kujali kabila la mtu. Kama hayo mahusiano yako haujaweka mipaka ya nini anaweza kufanya na nini hawezi kufanya basi sitashangaa siku nyingine ukija na story kuwa mzazi mwenzako amemzaba vibao mama au baba yako mzazi. Halafu hii dhana ya mzazi mwenzako inatoka wapi? Wewe umeishi na mwanamke mpaka mnazaa mtoto bado unajidai eti siyo mke wako bali ni mzazi mwenzako tu huo nao ni upuuzi mtupu. Kisheria ukishakaa na mwanamke kwenye nyumba moja kama mke na mume huyo ni mke wako na hajalishi kama umefunga ndoa kwa DC, Kanisani au Msikitini. Labda mwenyewe aamue tu kukuachia.
 
Jaman mie sio kichaa,xory na nimefunzwa na wazazi wangu.
Nata situlisha solve nyumban na ukaweka password kwenye cm nn tena huku jukwaan??
sikuwa nakuamin kwa sababu ya mambo yako ulikua unafanya.hukuweza kunijengea trust na hukuonyesha care na ndo maana nnlikua nahis tulikua tunagawana upendo.

pole kwa kukwazika kiasi hicho hope uko freee nau!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom