Boss wangu anitaka kimapenzi......

Boss wangu anitaka kimapenzi......

talent A

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
32
Reaction score
6
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed
 
Mpe vyombo boss achana na akina Yahaya. Utaishia kusoma namba za magari ya wenzako hadi lini?
 
Kazi mbona ndogo tu hii. Unatumia 'Smart Phone'? Muwekee mtego akiri kwamba alimfukuza kazi yule kijana bila sababu ya maana(kiutendaji) na pia anakutaka kimapenzi. Picha, video au chochote kile. Then njoo humu barazani tutafute wanasheria, atakulipa fidia ndefu sana.

Napenda sana episodes kama hizi!
 
Au unawaita TAKUKURU
 
Komaa nae huyu.....hawa ndo aina ya maboss wasiohitajika duniani. Anafanya familia za wenzake zisiende chooni kwa tamaa za viongo vyake vya uzazi. Hebu fuata ushauri wa Tigga hapo juu faaasta tumkomeshe.
 
Mhhhh! Pole sana...usimpe na anza juhudi za kutafuta kazi mahali pengine maana atakusumbua sana hata kukutafutia vijisababu vya kukufukuza kazi au kama una moyo mgumu mtege afukuzwe yeye kazi.
 
Kama unaipenda kazi mpe tu alabue kei hiyo cheo kipande.
 
Zinaa ni jambo baya !! Kwa sababu yako wewe kijana kamwaga unga !! Sasa uzito upo kwako lazima ucheze politics{siasa)Tahfadhali ondoa stree ili uokoe jahazi... Ongea na Boss na uwefirm na kujiamini mwambie amrudishe kijana kazini "Lazima kijana haki yake apewe na kazi arejeshewe" Ok halafu hakikisha mashuhuda kazini wanaijua issue... ! aidha uripoti kwa top management or high authorities. sintofahamu kama familiya yake inajuzwa kinamna au ndiyo mchezo wa bosi ulivyoo? ....God atasimama nawe, Ubarikiwe na Good luck.
 
daaah! namuonea huruma huyo alyefukuzwa kaz...km vp muharbie boss kwa mkewe,..mrekod ksha mpelekee mkewe
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

inabidi umpe huyo kaka kusud asiumie roho kwa kuwajibishwa bila kosa then ndo umpe na boss usije kosa ugali bure
 
Mmmmmmmmmmmmmmh! POLE SANA!

Ila mabinti na nyie MKOMEEEEEEEE!!!!!!!!! Ukiajiriwa hata chooni hupajui ushaunda ukaribu na bosi! Madai yako unakaa on the good side na management! Siku mbili tatu ukiombwa K unarudi kasi! Shenzi taipu!!!!! Kinachokupandisha cheo ni ubora wa kazi yako na K hiyo ukitoa, upuuzi wa goodside na management ushapitwa na wakati!

Nyie mbona mnamsema vibaya bosi flani! Mtu mzuri sana yule! Hamjamjua! *****! We uliekuja juzi ama sie tunaozeekea hapa nani anamjua zaidi, ukiombwa K ndo unarudi mikono nyuma kufuta kauli!
 
Tatizo hawa dada zetu ni vigumu kuwaamini,hapa anashauriwa lakini unaweza shangaag baadae anampa boss kimya kimya alafu anasema nilipitiwa
 
Mhh, nampa pole huyo aliyepoteza kazi yake. Ila nakushaur ufanye kitu kwa ajili yako na huyo kijana..
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

Mwambie uyo kaka aende akashtaki, siku hizi ufukuzwi kazi kienyeji ivyo..
 
mmh
huyo boss kweli hamnazo hadi kumfukuza mtu kazi
ukikubali kuwa na mahusiano naye ..mengi yatafuata na utakuwa mtumwa wake na hiyo kazi

jipange .. na uthamini utu wako, usikubali kuingia katika hayo mahusiano yasikuwa na tija. kama anafamilia yake, wewe anataka kukuharibia maisha yako tu
 
Back
Top Bottom