Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza utombanaji maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana maskhara kabisaa maofisini saa za kazi
Uongooo
 
Hukujua ulichofuata huko, we kweli mi lofa
 
Pole sana, hisia ni kitu Cha ajabu sana, nakushauri tu, acha kumfatilia boss wako kaa kimya, usimuulize kitu, mpotezee, Yani atakutafuta kama kweli mlikuwa na bond! Naomba kuuliza mnamahusiano kwa muda gani sasa?

Ni six months now
 
Inasikitisha sana mkuu. Sex imekua kama handshake tu.
Nyuchi za wadada zipo available njenje mpaka zinakinaisha, wakati enzibzetu ilikua ukiona shuka la guest limeanikwa tunadindisha siku tatu.
[emoji38][emoji38][emoji38]nacheka kama mazuri kumbe ni Kweli kabisa...sasa umalaya umeesahisishwa mnoo na wasomi wengi ndo makahaba classic
 
Ni six months now
aah buana, mbona bado sana, nakushauri tu, usimfatilie, usitume msg, usimpigie, usimshobokee, usimuulize kitu. Kaa kwa kutulia kama siyo wewe, km kweli anahisia na ww hata kiduchu lazima atakutafuta. Pole
 
Ishu ya Morogoro itengeneze ile ndo ina uhakika wa pesa ..
Au yule Bibi kafa!
Boss wako Nakadori Nani kamfungia ndani haonekani kabisa.
Aisee yule Bibi hajafa Shehe wangu, na Jumamosi kuna Dada anaenda kule anayejuana nae ili akaongee na Kijana anayejuana na yule Bibi wakienda kule kwa Bibi na Mimi ndio ni organize watu waende kule. Nakadori kwa kweli ni Dada yangu tu na siwezi kuwa naye kwenye mahusiano hata kwa bahati mbaya au tamaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…