Boss wangu ananiumiza hisia zangu


Yani nimekoma sirudii tena
 
Basi kama ni hivyo anatakiwa tu akubali kuwa hapendwi, aanze upya
 

Sawa nimekubali hanipendi
Kinachoniuma ninkumuona kila siku and Anavo interact na staff wengine wakike. Mimi napata hard time na siwezi kukasirika yule ni my boss
Ndo maana nimeona bora niache kazi
 
Ni kweli,, shida yenu na nyie wanaume hamjui kukataa..asingeliwa wala asingeumia mdada wa watu

That’s the point he is still entertaining me
Saa zingine ananikiss ananitouch mazingira ya hapo hapo ofisini ila later on Ana act yupo serious kama sio yeye.
 
Nimeanza kukumbuka kuna siku alisema siweI kumpenda milele inaweza kutokea siku nikamchukia mazima
Sasa sijui ndo inarelatena ulichosema hapa
HAKUPENDI.
Na hiyo kwenda kumwambia eti akifanya abc unaumia ndo umeharibu kabisa bora ungekaa kimya tu asijue kua unaumia.
Wanawake wengi huwa mnapitoa hii hali ila mkiambiwa hiyo ni toxic relationship hamuelewi kisa mmependa.
Jamaa kuna kipindi atakua cool mno na utampenda zaidi halafu atakugonga kichizi akikuchoka ataanza drama tena, na hayo ndo yatakua maisha yenu mpaka utapojitambua.
 
Aisee, kwa hiyo sex ndio imefanya uchanganyikiwe juu ya boss wako?
 
Sawa nimekubali hanipendi
Kinachoniuma ninkumuona kila siku and Anavo interact na staff wengine wakike. Mimi napata hard time na siwezi kukasirika yule ni my boss
Ndo maana nimeona bora niache kazi
Nilikwambia lakini kua utapoteza hiyo kazi.

We mpotezee, achana nae wala usimpe attention. Ipite kama jamaa alikukula kimasikhara basi iishie ivo nae ataelewa kiutu uzima.
 

Yeye anasema yupo kwenye serious relationship ila cha kushangaza anani entertain meaning kissing, touching and having sex Ila ukiwa nae kazini sometimes anakua serious sometimes anakua loving and caring na ananionesha hapo ofisini ila staff wa kike wakimuangalia ananibadilikia
 

[emoji24][emoji24][emoji24] kisa langu ni kuwa vulnerable
 
That’s the point he is still entertaining me
Saa zingine ananikiss ananitouch mazingira ya hapo hapo ofisini ila later on Ana act yupo serious kama sio yeye.
Aisee pole bestie.....lakini anza kumove on taratibu taratibu utazoea, achana nae kabisa
 
Kwa hiyo ukaamua kumchanulia?
Ishi hivyohivyo tu!
 
Kama yuko na mtu achana nae. Mbona mnajitesa namna hiyo.

Na huenda hana mtu wala nini ila kakwambia ivo coz anajua unampenda na huwezi chomoa kwake.
Hiyo kua na mtu kaiweka kama ngao ya kukuacha muda wowote akitaka/akikuchoka au akiona unaleta mazingzong hapo kazini.

Hayo ni mapenzi ya kipuuzi, how comes unakua na mahusiano serious na mtu ambae yeye ana mahusiano serious na mtu mwingine!!

Usipoteze muda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…