Mkuu yule mama ni mke wa mtu alafu isitoshe anatembea na Dereva wake ambae inawezekana mme wake anamfahamu,au kwanini wasingetafuta hata kagesti tu mpaka imekuja kuwatoka laki mbili na zaidi huko
Na yule dereve ni mme wa mtu (right?)... Unaposema "wasingetafuta kagesti" inamaanisha unahalalisha "dhambi" au kuna tofauti gani kati ya "kumvua chupi mke wa mtu" kwenye "kagesti" au "ufukweni"?
Na yule dereve ni mme wa mtu (right?)... Unaposema "wasingetafuta kagesti" inamaanisha unahalalisha "dhambi" au kuna tofauti gani kati ya "kumvua chupi mke wa mtu" kwenye "kagesti" au "ufukweni"?
Kuna watu wana pepo la ngono aisee yaani popote pepo likija lazima udunge au umdunge mtu iwe chooni,jikoni,sebleni,kulingana na shetani limekutuma ufanyie wapi.Ndio kama hao.
Hakuna dhambi nzur zote mwishowe ni kukudhalilisha,hao ni waongo ni washerati wa kubwa na lazima kila mtu ana mwenzi kamuacha nyumban.arusha ni kipashio cha sentensi. Mwe dhambi mbaya sana