Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Kwan wewe ulifata nini kwenye hilo group?, Bosi wako hataki stress kaamua kujichanganya tu .
Njia rahisi ya kupata stress ni kujiwekea limitations,
Ahahha aya kazi kwake
 
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana sasa najiuliza how ameweza jiunga af ni mtu hana heshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Siyo hana, sema ana heshimika. Unapoongeze h mbele una kanusha. Kwana mfana. Juna ana pesa. Na Juma hana pesa.
 
Back
Top Bottom