Boss hataki nifunge ndoa

Huyo ni mke wa ngapi unayemuoa?

Mpwa nimekugongea "Thanks" . Kama huamini kakague
 
Ni vema ukae nae umuelezee kila kitu na umwambie Kama utampa dudu kwa style gani ili mambo yasonge kumbuka boss akikupenda ni feva kubwa sana sio tu kwa kimaoenzi hata kikawaida.
Hii imekaa kiume sana, ni kubalansi mzani tu😅 sema awe makini na VVU
 
Muite hotel Kali Sana tumia hata laki mbili anywe afurahi na kunywa afu mtonye mwambie unamheshimu.

Yaani siku hizi bana binadamu unashindwa kutatua shida ndogo ndogo.

Yaani ongea naye umwambie Nia yako. Pia awe wazo ni kwa Nini anakubana na majukumu.

Muombe umtoe out hata mwende bwagamoyo mkuu.

Mana huyo haitakiwi ukosane naye kama anakuelewa tembea nae Sana ataelewa. Mwambie na wewe unapenda uwe na familia Kama yeye alivyo.

Mana Kuna ubongo tatu kwa wanyama Ila Kuna moja tu tunawazidi wanyama sie binadamu zingine tunafanana nao yaani kazi za hizo bongo zinafanana kwa wanyama na kwa binadamu.

Ubongo namba mbili unahusika na kuzaa na parenting so huwa kila kiumbe anao
Asisahau kumkaza kwanza, baada ya show ndio ampange sasa baada ya kumkojoza vilivyo
 
Mama anakuhifadhi kwa matumizi yake ya baadae.
Hahaaaaaa ........jamaa anatunzwa for future use. Bwana Nigga What mtoe out bosi wako, sehemu tulivu Sana mpige lunch tamu sana. Ikiwezekana tafuta msaada wa K-vant au value ku boost confidence yako. Kisha muangalie jichoni bila kukwepesha jicho, mpe ratiba ya mafundisho na mengineyo mpaka harusi yako Kisha muombe ruhusa ya kuwa unahudhuria.
 
Halafu umeuliza maswali rahisi sana ambayo hata ukijijibu mwenyewe kimoyo moyo, majibu yake yangelikuwa ni hayo hayo 100%!

Duniani kote unapotaka kufanya jambo lolote la maana halafu jambo hilo likaingia viral, kulifanikisha lazima utumie nguvu nyingi, vinginevyo linavurugwa na kufa, tena na watu ambao hauwezi kutarajia!

Halafu huyo boss unaona anakupiga vita!

Wewe unaona hiyo ni vita kweli?

Nikwambie hiyo siyo vita wala siyo chuki, hayo ni mambo ya kibinadamu tu.
Haujasikia usemi usemao "hakuna binadamu aliyekamilika"?

Hayo nina uzoefu nayo na nitakupa mfano:
Tulipopata ajira, ofisini tulimkuta mama mmoja siyo boss, ni staff mwenzetu tu, kwanza alinitia jakamoyo kwa kutomuelewa.

Alinionesha haiba mbili kwa pamoja, yaani kunichukia sana na kunipenda sana kwa wakati mmoja!

Yaani tukiwa wawili ananichangamkia sana, lakini tukiwa wengi hajibu hata salamu zangu na nikawa nasikia kwa watu anawatangazia anavyonichukia!

Sasa enzi hizo nilikuwa mhuni halafu mjanja nikaona jambo hilo nilifanyie utafiti kuupata ukweli, nini tatizo, tabu iko wapi kwa mtu ambaye hanijui, simjui?

Alternative ya kwanza nikaona nimtongoze huyu mama mtu mzima na akinikataa nijue kweli ananichukia, hivyo nimburuze kwenye uongozi na visa vyake nisivyovielewa, ili akaeleze nilichomkwaza!

Nikamvizia sehemu nikampandia sound, alivyosikia matamshi yale kutoka kinywani mwangu, haiba yake ikabadilika ghafla hadi nikashangaa!

Tabasamu pana, furaha tele moyoni na cheko la wazi!

Kilichofuata sikielezi hapa, isipokuwa nachotaka kukueleza ni kuwa si kila mtu unayehisi kuwa anakuchukia, yaweza kuwa ni kinyume na unavyomfikiria!

Anaweza kuwa "hakuchukii kwa ubaya".

Na kwamba, jambo la heri unalotarajia kulifanya hivi karibuni huwa linaibua hisia za watu, wengine kwa husda na wengine kwa wivu tu kuwa "wa kuoa awe huyu", basi kijicho!
Kwa mwanamke hisia za chuki mara nyingine huashiria kiu ya attention toka kwako. Anakupa mixed signals hii iliwahi kunitokea kwa lecturer wangu mmoja ingawa nilijawa na hofu sikuweza kumtongoza ila ni dhahiri zile signal ziliashiria kuwa alitamani siku moja nimfungukie kwa namna flani.

Nilikuwa nikiishi kwenye nyumba za ma staff wa chuo na mara kadhaa aliwahi kuja pale nyumbani kwetu. Hofu ilinitanda mno kuhofia scandal au reaction yake. She had a problem ya uzazi hakuwahi kupata mtoto toka aolewe.

Ni madam flani wa makamo ila ni wale wanawake wa udongo mzuri anaelekea 50’s ila ana muonekano wa binti wa 30”s.
 
Kwa mwanamke hisia za chuki mara nyingine huashiria kiu ya attention toka kwako. Anakupa mixed signals hii iliwahi kunitokea kwa lecturer wangu mmoja ingawa nilijawa na hofu sikuweza kumtongoza ila ni dhahiri zile signal ziliashiria kuwa alitamani siku moja nimfungukie kwa namna flani.

Nilikuwa nikiishi kwenye nyumba za ma staff wa chuo na mara kadhaa aliwahi kuja pale nyumbani kwetu. Hofu ilinitanda mno kuhofia scandal au reaction yake. She had a problem ya uzazi hakuwahi kupata mtoto toka aolewe.

Ni madam flani wa makamo ila ni wale wanawake wa udongo mzuri anaelekea 50’s ila ana muonekano wa binti wa 30”s.
Hili la mixed signal, "umeua" mkuu yaani ni haswa!

Na mwanaume usipokuwa mwangalifu mnaweza mkaingia mgogoro mkubwa usio na chanzo.
 
Mchango wake hauna umuhimu wwt kwako km hataki kutoa achana nae .
 
Huu ndo ushauri wa kufata sasa ha haaaaaaaaaa
Ni vema ukae nae umuelezee kila kitu na umwambie Kama utampa dudu kwa style gani ili mambo yasonge kumbuka boss akikupenda ni feva kubwa sana sio tu kwa kimaoenzi hata kikawaida.

Unaoa lakini mke anakuletea mzigo tu, usione ndio umepata faida huyo mwanamke bila hiyo kazi uliyonayo hawezi kukaa nawe . Mpende huyo mama na mpende mkeo akili mukichwa tu.

Mke anakuja tu anataka matunzo sasa hayo matunzo unayatoa wapi Kama sio kwenye mshahara na malupulupu ambayo ukikomaa na huyo mama unajinenga mapema?

Nyie hamuoni wanawake wanavyoliwa maofisini na mabosi wa kiume? Anajiongeza mume akizingua anamtupa kule washenzi wanajifanyaga independent wakishapata hela Sasa nawe jifanye unaoa sana kushinda wengine mke atakuja kuliwa na atakukimbia na utabaki na makende yako.

Mke kwake nyumbani boss kwake ofisini jipange dogo msione tunajenga magorofa tunaishi na Hawa akina mama kwa akili akiwa boss wako na mkeo wa jipange namna ya kuwala wakuneemeshe tu mke anakupikia boss anakupa masafari na hela . Yote life.

Acha kuzubaa.
 
Naridia tena hii ni stori ya mtu anaomba msaada kama nilivyoanza juu acheni uvivu wa kusoma thread myie great thinkers
 
Mtoe dinner muongee wewe wakiume Acha kulialia muombe mualiko
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom