Boss hataki nifunge ndoa

Huyo ni mke wa ngapi unayemuoa?

Kaka upo vizuri ,jamaa anatuuzia chai.
 
Huyo ni mke wa ngapi unayemuoa?

Jamii forum VAR
 
Huyo ni mke wa ngapi unayemuoa?

Ohoo ufukuzi
 
Ni vema ukae nae umuelezee kila kitu na umwambie Kama utampa dudu kwa style gani ili mambo yasonge kumbuka boss akikupenda ni feva kubwa sana sio tu kwa kimaoenzi hata kikawaida.

Unaoa lakini mke anakuletea mzigo tu, usione ndio umepata faida huyo mwanamke bila hiyo kazi uliyonayo hawezi kukaa nawe . Mpende huyo mama na mpende mkeo akili mukichwa tu.

Mke anakuja tu anataka matunzo sasa hayo matunzo unayatoa wapi Kama sio kwenye mshahara na malupulupu ambayo ukikomaa na huyo mama unajinenga mapema?

Nyie hamuoni wanawake wanavyoliwa maofisini na mabosi wa kiume? Anajiongeza mume akizingua anamtupa kule washenzi wanajifanyaga independent wakishapata hela Sasa nawe jifanye unaoa sana kushinda wengine mke atakuja kuliwa na atakukimbia na utabaki na makende yako.

Mke kwake nyumbani boss kwake ofisini jipange dogo msione tunajenga magorofa tunaishi na Hawa akina mama kwa akili akiwa boss wako na mkeo wa jipange namna ya kuwala wakuneemeshe tu mke anakupikia boss anakupa masafari na hela . Yote life.

Acha kuzubaa.
 
Huyo ni mke wa ngapi unayemuoa?

Soma tena hadi mwisho utaelewa
 
Nigga What usicheze na teknolojia...
Huyo ni mke wa ngapi unayemuoa?

 
tena na ushukuru angekuwa mchawi ndo angekumaliza kabisa, kuna binadamu wivu ndo hulka yao. Yani wana roho ya kwanini. Hii saingine inatokana na kuzaliwa kwa mtu.

Huyo meneja wako pengine yeye na mumewe walifunga zile harusi za asubuhi kanisani mchana kazini, hawakufunga harusi za michango na kuuubwaaa kivile.

sasa anakuwa na roho ya kwanini. Na pia anaonea mwanamke mwenzake wivu licha ya hata pengine hamfahamu, anaona kwamba yani mwanamke ka yeye tuu, ndo aje amwingilie yeye na mfanyakazi wake na kuleta mambo ya ndoa zao mpaka kazini,

tena ukute akijisemea binafsi kuwa mbona yeye alipofunga ndoa hakumshirikisha mtu na wala hakuchangiwa kitu. Anataka maisha aliyoyapitia au anayoishi mfanane wakati ni kitu kisichowezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom