Boss anapopumua

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Katika kutafuta huduma za jamii, baada ya nenda huku nenda kule nyingi, nilipewa barua inayihitaji mhuri na sahihi ya boss ili kumaliza mjadala.

Boss huyu anapatikana wizara flani, nika tinga. Secretary wa boss ni mtoto wa shost, basi kuniona tu aliniambia aunt Sky wewe nenda tu ofisini kwake, nilishamueleza jamaa utakuja.

Nimefika kwenye mlango wa ofisi, nikagonga, kimya basi nikajarubu ule mlango ulikuwa wazi, kuingia ndani nilikuta boss ametoka kupumua na ametoa hewa chafu.

Chumba kilikuwa na hali mbaya, kwa aibu hakutaka majadiliano slimwaga sahihi na mhuri na kuniacha nitoke.

Secretary hapa hakuwa na maadili, alioaaqa kupiga simu na kumtaarifu boss kuwa mgeni amefika. Kabla hamjapumya ma boss pia angalieni mazingira.
 
Katika kutafuta huduma za jamii, baada ya nenda huku nenda kule nyingi, nilipewa barua inayihitaji mhuri na sahihi ya boss ili kumaliza mjadala.

Boss huyu anapatikana wizara flani, nika tinga. Secretary wa boss ni mtoto wa shost, basi kuniona tu aliniambia aunt Sky wewe nenda tu ofisini kwake, nilishamueleza jamaa utakuwa.

Nimefika kwenye mlango wa ofisi, nikagonga, kimya basi nikajarubu ule mlango ulikuwa wazi, kuingia ndani nilikuta boss ametoka kupumua na ametoa hewa chafu.

Chumba kilikuwa na hali mbaya, kwa aibu hakutaka majadiliano slimwaga sahihi na mhuri na kuniacha nitoke.

Secretary hapa hakuwa na maadili, alioaaqa kupiga simu na kumtaarifu boss kuwa mgeni amefika. Kabla hamjapumya ma boss pia angalieni mazingira.
ni kipindi ichi xmass na pilau
 
Wewe kama dokta umemshauri afanye nini ili hewa yake isiwe na harufu kali kama uliyoihemea?
 
ukaona na hichi ni kitu cha kuja kupost humu jamii forum. mbiombio zoote hizo kisa mtu kupumua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom