Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

njia rahisi mwambie hivi

mama mm nilikuwa natafuta kazi iweze kunisaidia kwenye matibabu yangu nnayoumwa akiuliza unaumwa ugonjwa gani mwambie nna ukimwi niliupata baada ya kumaliza primary kama atakubali ujue anao akikataa ujue ni mzima ndio unamla kiulaini
 
Naye akisema ameathirika? Kauli zingine unabid utoe ukiwa na full details zinazothibitisha boss hana ngoma la sivyo unajiwekea kitanzi.

Mkuu hapo hakuna kukwepa lbda kama uache kazi tu. Cha kuangalia afya kwanza, nenda mkapime UKIMWI km wote mpo safi, piga mzigo.

MAISHA PESA NDUGU YANGU, HAWA WANAWAKE WENGINE UNAOWAONA WATAKUPENDA UKIWA NA PESA TU. Km hauna watakudharau na kunyanyasa. ndipo suala la mwanaume suruali linapoanzia.
Inabid utumie akili ya kuzaliwa ndugu yangu, km mama huyo atakuwa ameathirika acha kazi kabisa. Sbb atakutumia, atakupa virus na mwisho wa siku atakufukuza kazi.

SAFI SANA KWA MSIMAMO WAKO, ANGEKUWA MWINGINE ANGEKUWA AMESHAKULA MZIGO HUMO HUMO OFISINI. Hongera sana
Mh! Ila wakienda kupima ngoma jamaa atasema alieambatana nae ni naniiiii....
Mhh!, Ok. Kupelekwa kuchekiwa ni maamuzi ya mgonjwa wala sio shurti

Da
Kataaa kabisa
Kama ni mpango wa mungu kupata hiyo kazi utabaki kazini
 
Dunia hii huwezi amini tunatofautiana sana mkuu endelea na msimamo wako wa kukataa utafanikiwa Mungu yupo pamoja nawe.

*Binafsi ningekuwa mimi ningeita zali la mentali, hata kama nisingelipwa mshahara wala kupewa nyongeza bas ningemkamatia.
-Kwanza kabisa wakati naanza kuona dalili tu ningemtongoza fasta na siku hiyo aliyoniambia nifunge mlango basi ningemaliza fasta kimya kimya.
 
unajua wafanyakazi wanakuaga na mental slavery flani hivi kwa mabosi wao kwamba anaweza kupoteza kazi endapo asipokubaliana na matakwa ya bosi wake na hio ndio fimbo mabosi wanaitumia kunyanyasia wafanyakazi so minaona ww tayari unaogopa kufutwa kazi ila utajutia ukitembea na huyo bosi wako cha msingi usiogope kufutwa kazi mwambie muheshimiane tu inatosha
 
Mwambie na wewe una kisukari kama mume wake hivyo atafute kijana mwingine. Huyo anataka mtu wa kuondoka naye tu.
 
Kama unauwezo Fanya kama mimi ,,Jifanye jogoo hapandi mtungi,,maana mimi nililala siku tatu na Mdada bila kudindisha kabisa ,,Kweli nikaamini kama mtu humpendi sisi wa kiume kubakwa ni ngumu sana,,Kilichofuata aliniaga na kuahidi kunitafutia dawa ila nilikuwa salama kwa malengo yangu,,Inahitaji uvumilivu sana Kama kweli unavyosema ni kama mama yako mzazi
 
Nenda na Dozi ya kaswende mwambie umeianza siku ya pili xo dozi ya kaswende uwa ni more than 3wek xo zitumie kutafuta kaz
 
Pole sana usimkubalie uyo mama kwan huwez jua ana maradh gan na kwann apenda watoto wadogo chakufanya acha kaz pesa ulizo pata kamaumezitunza fungua hata genge huku ukiendelea kutafuta kaz sehem nyingind waweza mkubalia uyo mama na ukawa napesa na mali end of the day akakuachia maradh ukapoteza ndoto zako
 
Mh! Ila wakienda kupima ngoma jamaa atasema alieambatana nae ni naniiiii....
Huu ulimwengu kila kitu kipo wazi, kabla ya mtu kuanza kukuuliza tayari atakuwa ameshapata majibu.

Fataki wa kiume, na sasa hiv kuna mafataki wa kike. Hiyo issue wala haisumbui kbsa mkuu
 
cha kukushaur kaka ni kwamba, utakapokuwa na uyo boss wako we mdanganye tu , mwambie boss ni kwel napenda sana kufanya iyo kitu ila tatizo linakuja kwamba mm ni mwathirika, nimeamua kuwa mwaz ili kesho na kesho kutwa ukiingia kwenye matatizo usinilaum ns pia boss naomba sana unifichie siri juu ya hili sababu wafanyakazi wenzangu wakijua wataninyanyapaa! huo ndio ushaur wangu ndugu! jisingizie ni mwathirika tu, tena mwambie una ushahid wa vyet kabisa
 
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na sikutaka kabisa kuwa tegemezi kwa mtu yoyote (wakiwemo wazazi) niliamini kunipa elimu ni mtaji muhimu na tosha na lilikua jukumu langu kuandaa maisha yangu mwenyewe na kujitegema

Nilipofika pale niliomba kuonana na boss ila nikaambiwa haiwezekani labda ningekua na appointment, kutokana na uzoefu hii kauli nilikua nimekutana nayo mara kadhaa hivyo ilikua hainisumbui sana, nikamwambia yule receiptionist kuwa nilikua na appointment (kiukweli sikua nayo na nakiri nilidanganya na nilikosea ila sikuwa na namna mbadala) akaniuliza nimwambie we ni nani nikasema mwambie (tax consultant)

Waliongea mawili matatu then nikaruhusiwa kuingia nadiriki kusema shida ni mwalimu mkubwa sana kwani sikuwa na woga wowote kuonana na yeyote na kujinadi, baada ya mazungumzo na mahojiano ya kama dakika sita yule manager (mwanamke) akaniambia alhamisi niende nikafanye interview na kutokana na intro niliyoitoa hiyo siku (Jumanne).

Haikua kazi kwangu kupata hiyo kazi hata baada ya interview ya alhamisi, tulikubaliana terms za kazi na mshahara then nikapewa mkataba. Nilifurahi sana nikijua sasa mipango yangu itaenda vema (kwakweli mshahara ulikua mzuri tu) hadi nikaanza kupangilia biashara ndogondogo ili kuinua uchumi wangu.

Nilianza kazi wiki iliyofuata na wafanyakazi wenzangu walikua watu wema sana kwangu hivyo nilifanya kazi kwa furaha na ufanisi sana mpaka hali ilipokuja kubadilika.

MABADILIKO

Baada ya wiki moja mambo yalianza kubadilika pale ofisini, mara kwa mara boss alikua na vikao visivyokua na mbele wala nyuma na mimi na akawa mkali kwa wafanyakazi wenzangu especially wa kike na taratibu wakaanza kuniogopa.

Siku moja aliniita ofisini (ilikua Ijumaa) na akaniambia nifunge mlango nilishtuka sababu normally ukiingia ofisini lazima ufunge mlango cha kushangaza akaniambia ni-u lock nikafanya alivyotaka,

Hakuna cha maana alichoniambia zaidi ya story za kifamilia tu oooh mara mumewe (aliekuwa meneja kabla hajaumwa) anasumbuliwa na kisukari na presha na anapata taabu sana mi nikawa msikilizaji tu na aliongea muda mrefu hadi jua likazama na watu waliondoka ofisini alibaki mlinzi tu.

Aliongea mengi na mwisho akaniambia anataka nimsaidie (ngono) kitu ambacho kilinishtua kidogo ukizingatia ni mtu mzima rika la mamaangu, nilimbembeleza kuwa hapo si pahali salama ili tu aniache siku hiyo ili nikajipange jinsi ya kuepukana nae na kuikabili ile hali.

Alinikomalia sana hadi kunivamia physically na alionekana wazi alikua desperate for sex ila nilifanikiwa kumpanga na akanielewa baada ya hiyo siku ofisi nzima wakahisi nilizini na yule boss hivyo kukawa na minong'ono mingi na sikuwa na namna ya kuwaaminisha vinginevyo.

Tangu hapo ni wiki ya pili sasa huyu mama ananisumbua sana, ananiahidi mambo mengi kama nitakubali kusex nae na ni dhahiri nikimtamkia kuwa SITAKI nitapoteza kibarua kwani ye ndo meneja hapa na ndo anaajiri na kusitisha ajira,

Leo hii (Jmosi) kanipigia simu na kuniambia kesho saa saba ana kikao na mimi cha kikazi ila location naona hata aibu kuisema. Wakuu najua kuna watu humu wakike na kiume ambao wamekutana na hali kama yangu,

Naipenda kazi na sina pa kushikilia kwa sasa lakini pia sitaki kuisaliti imani yangu na msimamo kwa kupenda vitu vya dezo na kufanya uzinzi na mtu wa rika la mama yangu, ni dhambi kubwa na pia ni kinyume cha maadili ya jamii yetu lakini pia nikifikiria matokeo ya kuachishwa kazi (na mipango niliyokwisha iweka kichwani kwangu) roho inaniuma sana nabaki nikiwaza na kuwazua bila kujua haswaa nishike wapi.

Msimamo wangu ni kutokulala na huyu mama no matter the consequences ila naomba mnipe chakula cha akili ili akinifukuza kazi basi niwe nimeimarika kisaikolojia kwa ushauri wenu na nisitetereke sana kisaikolojia.

Asanteni
bwana tax consultant asikudanganye mtu .. bahati haiji mara mbili .. huwez kutoka kimaisha kihalali unavyofkiria wew ..
 
kifupi apo kaka mtafute doctor faster uongee nae kuhusu huo mkasa wako ili kama vp akuandikie kuwa ww ni HVI positive, ila tar ya vipimo iwe ya siku za nyuma sana then ukufika kwa uyo boss wako unamtolea tu ivyo vipimo unajofanya unamuomba asikutangazie kwa watu
 
Umesema ni mwalimu mzoefu. Kwa hiyo unajua problem solving process principles. Ni hizi hapa kwa kutumia geographical metaphor and otherwise:

1. Where do want to go? (what do we want?)
2. Where are we now? (what resources and constraints do we have now?)
3. How can move from where we are to where we want to go? (How can we use the resources we have to get what want?)
4. As we move to he destiny, how can we cross the rivers and mountains on the way? (How can we manipulate constraints we have as we pursue what we want?)
5. Who will do what tasks as we travel? (What is the division of labour?)
6. How will we know that we have reached the destiny? (How will we monitor the progress?)

Kwa hiyo, ukizingatia namba 2, 3 na 4 hapo juu, utaona kwamba:

1. Kama ni rijali, unaweza kutumia urijali wako kupata usicho nacho.
2. Kama unaogopa ukimwi, unaweza kushauriana naye emphatically, mkapima kwanza, halafu ukasonga mbele naye.
3. Lakini naona bado, hamjaongelea swali,"what do we want?" Kama anataka mume, then age difference is a relevant factor. Kama anataka sex-mate, this factor is irrelevant. So, Lazima mkubaliane kuanzia hapo kwanza. If you both want sex per se, then that is a good starting point, otherwise hata maandishi haya nimepoteza muda?

Stay focused.
 
Back
Top Bottom