Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Mkuu katika nyakati kama hizi siraha pekee itakayokunasua ni CHOZI.
Itika wito wa huyo manager wako mkifika faragha akaanza yake nakuomba ujitoe ufahamu. Piga magoti mbele yake lia kilio kikuu cha machozi bila sauti. Mweleze ukweli jinsi ulivyosota, ulivyomwomba Mungu ili kupata hiyo kazi na utegemezi wa maisha yako kupitia hiyo kazi. Mwambie ni kiasi gani unaheshimu hisia zake juu yako akiwa kama mwanamke. Mweleze ni kiasi gani anakupa jitimai la nafsi katika kushiriki jambo hilo hasa ukizingatia tofauti ya umri kati yenu. Mwambie unamuona kama mama yako, mwambie ni kiasi gani utasononeka baada ya kushiriki dhambi hiyo.
Mwambie ni kiasi gani unaipenda kazi ile na kivipi haupo tayari kuipoteza.
Naamini atakuelewa nauhakika roho mchafu aliyempanda atatoweka.
Usikubari kwa namna yeyote ile kushiriki dhambi hiyo bali tumia nguvu ya ushawishi wa kianaume kuchota hisia zake.

Pambana usiwe kama samson kwa delillah shinda pepo hilo.

Asante sana mkuu ushauri mzuri sana huu, nitaijaribu hii njia. Asante sana Kisima
 
Kama we unaona huyo kama mama yako kwanini yeye asikuone wewe kama mwanaye?mimi ningemkomesha.. Ningevaa kodomu ningemshughulikia kisawa sawa mpaka akome.wewe unapenda maisha maisha magumu eeh! Piga papuchi hiyo utoke[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unalialia nini?
 
Kwa hiyo apige mzigo! Hiyo ndio unaiita Full details yako...
Nafikiri haujanipata mkuu.
Ww ulisema, mkuu aseme ana ngoma

Nikakujibu je km na boss akisema naye ameathirika? Unafikiri atafanyaje?
Kwa hiyo nikasema kabla ya kusema ameathirika km ww unavyodhani lazima awe na full detail kuthibitisha kuwa boss hana UKIMWI.

Unasema nimeathirika boss naye anakuambia amefurahia kusikia, hivyo naye pia ameathirika. Unafikiri kitu gani kitatokea?
MKUU KABLA YA KUCOMMENT UWE UNASOMA KWANZA NA SIYO UKIONA MTU KAKUQUOTE, TAYARI UNATUPIA TU MAANDISHI BILA KUTAFAKARI
 
Mwambie akapime kama ana gengwe no way out ruka naye tuuh maisha yenyewe yakowap
Alafu nitumie picha yake
Ni namba A au B
 
Binafsi nikilazimishwa mapenzi huwa dushe halipandi hata kwa hamasa gani. Sijui kwa upande wa mtoa thread. Then unamwambia tu kuwa una matatizo ya viungo vya uzazi.

Mkuu hii ni kweli, unakua kama umepigwa ganzi hivi
 
cha muhimu nikuconfirm HIV status zenu kama mko serocompatible... We mpanue tu huyo boss upate mtaji wako caution usjisahau ishi kwa malengo... Kupata kaz sahv ni ishu mwnyew unajua uskubali kuacha kaz kirahis hvyo
 
Ila km utaamua kupima naye ngoma, usimwambie hospitali.
Ww mwambie siku fulani mtaenda kupima ikibid gharamia
Ukizubaa hapa halafu ukute mtu mwenyew kaathihirika atakupeleka hospital anazozijua yy mwenyew na ambazo zina watu wake. Kwa hiyo usitegemee mtapewa majibu ya kuridhisha.

Kuwa na msimamo km hataki kataaa sbb atakuambukiza virus, na akikuchoka atakufanyia vituko na mwisho wa siku atakufukuza kazi. Si unajua mkuu kazi zilivyo ngumu, hapo umeathirika unafikiri utaishije? Bora uwe na afya yako unaweza beba hata zege na maisha yakasonga.
Hao wanawake wa hivyo huwa wanaroho mbaya sana kuliko hata unavyofikiria, hata shetani kuna wakati huwa anajifanya mwema sana kuliko hata Mungu ila lazima akugeuke tu sbb uovu ndiyo asili yake. Na usifikiri anakupenda sana ila huyo ndiyo mchezo wake km umeajiriwa tu muda mfupi anataka ngono, unafikiria katembea na wangapi kabla yako?
 
pole sana ila ukishauliwa changanya na yako...kazi ni muhimu lakini starehe ya siku moja pia inaweza kuyabadili maisha yako yakabaki kuwa historia...
 
Msimu huu unaogopa hivyo? mwambie ulirecord yote mliyoongea kwa hiyo akae mbali na wewe maana utazirusha wosapu& na waziri wa jinsia wala hakufukuzi kazi.
 
Asanteni sana wakuu nasoma ushauri wa kila mmoja hapa na kiukweli mnanisaidia sana kupata ABC za kuliepuka hili salama
 
Back
Top Bottom