Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

frankly speaking... bro wewe kubali kumpa boss vitu lakini chukua risk kwa magonjwa. kuhusu kuzin najua nijambo baya tena na mtu aliokuzidi umri lakin jiulize ww ushazin mara ngap? ww jaribu kupima consequence za kukosa kazi au kupiga mzigo(safe sex) alaf take action
 
Acha kazi fasta... Nikuliplace ntakuwa nakupa 10% ya mshahara wakat unakomaa kitaa.. We ulikuwa unapigka mtaani Umeenda kujiliza liza bila appointment umepewa kazi.. Yeye hajaja kuksema humu tabia ya kujipeleka na mauongo juu.. We umeombwa Mgegedo classic one tym mme wake kisukar kimemtoa kwa ramani kelele nyingi.. Wanaume wa dar bhana..
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
frankly speaking... bro wewe kubali kumpa boss vitu lakini chukua risk kwa magonjwa. kuhusu kuzin najua nijambo baya tena na mtu aliokuzidi umri lakin jiulize ww ushazin mara ngap? ww jaribu kupima consequence za kukosa kazi au kupiga mzigo(safe sex) alaf take action

Asante kwa ushauri mkuu
 
Mkuu katika nyakati kama hizi siraha pekee itakayokunasua ni CHOZI.
Itika wito wa huyo manager wako mkifika faragha akaanza yake nakuomba ujitoe ufahamu. Piga magoti mbele yake lia kilio kikuu cha machozi bila sauti. Mweleze ukweli jinsi ulivyosota, ulivyomwomba Mungu ili kupata hiyo kazi na utegemezi wa maisha yako kupitia hiyo kazi. Mwambie ni kiasi gani unaheshimu hisia zake juu yako akiwa kama mwanamke. Mweleze ni kiasi gani anakupa jitimai la nafsi katika kushiriki jambo hilo hasa ukizingatia tofauti ya umri kati yenu. Mwambie unamuona kama mama yako, mwambie ni kiasi gani utasononeka baada ya kushiriki dhambi hiyo.
Mwambie ni kiasi gani unaipenda kazi ile na kivipi haupo tayari kuipoteza.
Naamini atakuelewa nauhakika roho mchafu aliyempanda atatoweka.
Usikubari kwa namna yeyote ile kushiriki dhambi hiyo bali tumia nguvu ya ushawishi wa kianaume kuchota hisia zake.

Pambana usiwe kama samson kwa delillah shinda pepo hilo.
Ushauri mzuri huu amwambie mama ukweli na hali halisi
 
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na sikutaka kabisa kuwa tegemezi kwa mtu yoyote (wakiwemo wazazi) niliamini kunipa elimu ni mtaji muhimu na tosha na lilikua jukumu langu kuandaa maisha yangu mwenyewe na kujitegema

Nilipofika pale niliomba kuonana na boss ila nikaambiwa haiwezekani labda ningekua na appointment, kutokana na uzoefu hii kauli nilikua nimekutana nayo mara kadhaa hivyo ilikua hainisumbui sana, nikamwambia yule receiptionist kuwa nilikua na appointment (kiukweli sikua nayo na nakiri nilidanganya na nilikosea ila sikuwa na namna mbadala) akaniuliza nimwambie we ni nani nikasema mwambie (tax consultant)

Waliongea mawili matatu then nikaruhusiwa kuingia nadiriki kusema shida ni mwalimu mkubwa sana kwani sikuwa na woga wowote kuonana na yeyote na kujinadi, baada ya mazungumzo na mahojiano ya kama dakika sita yule manager (mwanamke) akaniambia alhamisi niende nikafanye interview na kutokana na intro niliyoitoa hiyo siku (Jumanne).

Haikua kazi kwangu kupata hiyo kazi hata baada ya interview ya alhamisi, tulikubaliana terms za kazi na mshahara then nikapewa mkataba. Nilifurahi sana nikijua sasa mipango yangu itaenda vema (kwakweli mshahara ulikua mzuri tu) hadi nikaanza kupangilia biashara ndogondogo ili kuinua uchumi wangu.

Nilianza kazi wiki iliyofuata na wafanyakazi wenzangu walikua watu wema sana kwangu hivyo nilifanya kazi kwa furaha na ufanisi sana mpaka hali ilipokuja kubadilika.

MABADILIKO

Baada ya wiki moja mambo yalianza kubadilika pale ofisini, mara kwa mara boss alikua na vikao visivyokua na mbele wala nyuma na mimi na akawa mkali kwa wafanyakazi wenzangu especially wa kike na taratibu wakaanza kuniogopa.

Siku moja aliniita ofisini (ilikua Ijumaa) na akaniambia nifunge mlango nilishtuka sababu normally ukiingia ofisini lazima ufunge mlango cha kushangaza akaniambia ni-u lock nikafanya alivyotaka,

Hakuna cha maana alichoniambia zaidi ya story za kifamilia tu oooh mara mumewe (aliekuwa meneja kabla hajaumwa) anasumbuliwa na kisukari na presha na anapata taabu sana mi nikawa msikilizaji tu na aliongea muda mrefu hadi jua likazama na watu waliondoka ofisini alibaki mlinzi tu.

Aliongea mengi na mwisho akaniambia anataka nimsaidie (ngono) kitu ambacho kilinishtua kidogo ukizingatia ni mtu mzima rika la mamaangu, nilimbembeleza kuwa hapo si pahali salama ili tu aniache siku hiyo ili nikajipange jinsi ya kuepukana nae na kuikabili ile hali.

Alinikomalia sana hadi kunivamia physically na alionekana wazi alikua desperate for sex ila nilifanikiwa kumpanga na akanielewa baada ya hiyo siku ofisi nzima wakahisi nilizini na yule boss hivyo kukawa na minong'ono mingi na sikuwa na namna ya kuwaaminisha vinginevyo.

Tangu hapo ni wiki ya pili sasa huyu mama ananisumbua sana, ananiahidi mambo mengi kama nitakubali kusex nae na ni dhahiri nikimtamkia kuwa SITAKI nitapoteza kibarua kwani ye ndo meneja hapa na ndo anaajiri na kusitisha ajira,

Leo hii (Jmosi) kanipigia simu na kuniambia kesho saa saba ana kikao na mimi cha kikazi ila location naona hata aibu kuisema. Wakuu najua kuna watu humu wakike na kiume ambao wamekutana na hali kama yangu,

Naipenda kazi na sina pa kushikilia kwa sasa lakini pia sitaki kuisaliti imani yangu na msimamo kwa kupenda vitu vya dezo na kufanya uzinzi na mtu wa rika la mama yangu, ni dhambi kubwa na pia ni kinyume cha maadili ya jamii yetu lakini pia nikifikiria matokeo ya kuachishwa kazi (na mipango niliyokwisha iweka kichwani kwangu) roho inaniuma sana nabaki nikiwaza na kuwazua bila kujua haswaa nishike wapi.

Msimamo wangu ni kutokulala na huyu mama no matter the consequences ila naomba mnipe chakula cha akili ili akinifukuza kazi basi niwe nimeimarika kisaikolojia kwa ushauri wenu na nisitetereke sana kisaikolojia.

Asanteni
Kagonge tu huyo MILF.
 
Asante kwa ushauri dadaangu Diva Beyonce
Hata kama ni shida ya kazi asitumie hyo chance kukunyanyasa kuwa namsimamo mwombe Mungu nia yake ovu ishindwe kwanza huyo mama ukute si mzima, tena MPE na FACT'S za ukweli na maneno ya Mungu ataona aibu ukute ni kazi yake kwa vijana. Mama wa hovyo kabisa huyu.
 
hahah kuna watu mimate inawadondoka, kama ni mzinifu we pigaaa tu, cha msingi mkapime asije kuwa na ngoma akumalize.
 
Back
Top Bottom