Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Mwambie una ngoma broo...hapo full stop!
Naye akisema ameathirika? Kauli zingine unabid utoe ukiwa na full details zinazothibitisha boss hana ngoma la sivyo unajiwekea kitanzi.

Mkuu hapo hakuna kukwepa lbda kama uache kazi tu. Cha kuangalia afya kwanza, nenda mkapime UKIMWI km wote mpo safi, piga mzigo.

MAISHA PESA NDUGU YANGU, HAWA WANAWAKE WENGINE UNAOWAONA WATAKUPENDA UKIWA NA PESA TU. Km hauna watakudharau na kunyanyasa. ndipo suala la mwanaume suruali linapoanzia.
Inabid utumie akili ya kuzaliwa ndugu yangu, km mama huyo atakuwa ameathirika acha kazi kabisa. Sbb atakutumia, atakupa virus na mwisho wa siku atakufukuza kazi.

SAFI SANA KWA MSIMAMO WAKO, ANGEKUWA MWINGINE ANGEKUWA AMESHAKULA MZIGO HUMO HUMO OFISINI. Hongera sana
 
Duh! Mungu akusaidie. Hilo jaribu lakufaa ulishinde then ufaulu, nenda kamsikilize ukiona ni ngono plz mwambie unaumwa alafu unavidonda sehemu za siri........nenda kanunue dawa dukani nenda weka mfukoni ukamuonyeshe kuwa umeanza dozi maana hata usiku hukulala..........nenda ukiwa mdhaifu goigoi kabisa. Subiri ushauri wa wengine kama wangu hautafaa
Utasingizia mpaka lini? Inabid kutafuta suluhu ya kudumu.
Ni sawa na mtu anamawazo anaenda kunywa bia, baada ya muda mawazo yanaanza pale pale
 
Naye akisema ameathirika? Kauli zingine unabid utoe ukiwa na full details.

Mkuu hapo hakuna kukwepa lbda kama uache kazi tu. Cha kuangalia afya kwanza, nenda mkapime UKIMWI km wote mpo safi, piga mzigo.

MAISHA PESA NDUGU YANGU, HAWA WANAWAKE WENGINE UNAOWAONA WATAKUPENDA UKIWA NA PESA TU. Km hauna watakudharau na kunyanyasa. ndipo suala la mwanaume suruali linapoanzia.
Inabid utumie akili ya kuzaliwa ndugu yangu, km mama huyo atakuwa ameathirika acha kazi kabisa. Sbb atakutumia, atakupa virus na mwisho wa siku atakufukuza kazi.

SAFI SANA KWA MSIMAMO WAKO, ANGEKUWA MWINGINE ANGEKUWA AMESHAKULA MZIGO HUMO HUMO OFISINI. Hongera sana

Asante kwa ushauri mkuu Gregoire's
 
Naye akisema ameathirika? Kauli zingine unabid utoe ukiwa na full details.

Mkuu hapo hakuna kukwepa lbda kama uache kazi tu. Cha kuangalia afya kwanza, nenda mkapime UKIMWI km wote mpo safi, piga mzigo.

MAISHA PESA NDUGU YANGU, HAWA WANAWAKE WENGINE UNAOWAONA WATAKUPENDA UKIWA NA PESA TU. Km hauna watakudharau na kunyanyasa. ndipo suala la mwanaume suruali linapoanzia.
Inabid utumie akili ya kuzaliwa ndugu yangu, km mama huyo atakuwa ameathirika acha kazi kabisa. Sbb atakutumia, atakupa virus na mwisho wa siku atakufukuza kazi.

SAFI SANA KWA MSIMAMO WAKO, ANGEKUWA MWINGINE ANGEKUWA AMESHAKULA MZIGO HUMO HUMO OFISINI. Hongera sana
Kwa hiyo apige mzigo! Hiyo ndio unaiita Full details yako...
 
Mkuu katika nyakati kama hizi siraha pekee itakayokunasua ni CHOZI.
Itika wito wa huyo manager wako mkifika faragha akaanza yake nakuomba ujitoe ufahamu. Piga magoti mbele yake lia kilio kikuu cha machozi bila sauti. Mweleze ukweli jinsi ulivyosota, ulivyomwomba Mungu ili kupata hiyo kazi na utegemezi wa maisha yako kupitia hiyo kazi. Mwambie ni kiasi gani unaheshimu hisia zake juu yako akiwa kama mwanamke. Mweleze ni kiasi gani anakupa jitimai la nafsi katika kushiriki jambo hilo hasa ukizingatia tofauti ya umri kati yenu. Mwambie unamuona kama mama yako, mwambie ni kiasi gani utasononeka baada ya kushiriki dhambi hiyo.
Mwambie ni kiasi gani unaipenda kazi ile na kivipi haupo tayari kuipoteza.
Naamini atakuelewa nauhakika roho mchafu aliyempanda atatoweka.
Usikubari kwa namna yeyote ile kushiriki dhambi hiyo bali tumia nguvu ya ushawishi wa kianaume kuchota hisia zake.

Pambana usiwe kama samson kwa delillah shinda pepo hilo.
 
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya mwenge (dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na sikutaka kabisa kuwa tegemezi kwa mtu yoyote (wakiwemo wazazi) niliamini kunipa elimu ni mtaji muhimu na tosha na lilikua jukumu langu kuandaa maisha yangu mwenyewe na kujitegema
Nilipofika pale niliomba kuonana na boss ila nikaambiwa haiwezekani labda ningekua na appointment, kutokana na uzoefu hii kauli nlikua nimekutana nayo mara kadhaa hivyo ilikua hainisumbui sana, nikamwambia yule receiptionist kuwa nlikua na appointment (kiukweli sikua nayo na nakiri nilidanganya na nilikosea ila sikuwa na namna mbadala) akaniuliza nimwambie we ni nani nikasema mwambie (tax consultant)

waliongea mawili matatu then nikaruhusiwa kuingia nadiriki kusema shida ni mwalimu mkubwa sana kwani sikuwa na woga wowote kuonana na yeyote na kujinadi, baada ya mazungumzo na mahojiano ya kama dakika sita yule manager (mwanamke) akaniambia alhamisi niende nikafanye interview na kutokana na intro nliyoitoa hiyo siku (jumanne).

haikua kazi kwangu kupata hiyo kazi hata baada ya interview ya alhamisi, tulikubaliana terms za kazi na mshahara then nikapewa mkataba. Nilifurahi sana nikijua sasa mipango yangu itaenda vema (kwakweli mshahara ulikua mzuri tu) hadi nikaanza kupangilia biashara ndogondogo ili kuinua uchumi wangu.

Nilianza kazi wiki iliyofuata na wafanyakazi wenzangu walikua watu wema sana kwangu hivyo nilifanya kazi kwa furaha na ufanisi sana mpaka hali ilipokuja kubadilika.

MABADILIKO

Baada ya wiki moja mambo yalianza kubadilika pale ofisini, mara kwa mara boss alikua na vikao visivyokua na mbele wala nyuma na mimi na akawa mkali kwa wafanyakazi wenzangu especially wa kike na taratibu wakaanza kuniogopa.

siku moja aliniita ofisini (ilikua ijumaa) na akaniambia nifunge mlango nilishtuka sababu normally ukiingia ofisini lazima ufunge mlango cha kushangaza akaniambia ni-u lock nokafanya alivyotaka,

hakuna cha maana alichoniambia zaidi ya story za kifamilia tu oooh mara mumewe (aliekuwa meneja kabla hajaumwa) anasumbuliwa na kisukari na presha na anapata taabu sana mi nikawa msikilizaji tu na aliongea mda mrefu hadi jua likazama na watu waliondoka ofisini alibaki mlinzi tu,

aliongea mengi na mwisho akaniambia anataka nimsaidie (ngono) kitu ambacho kilinishtua kidogo ukizingatia ni mtu mzima rika la mamaangu, nilimbembeleza kuwa hapo si pahali salama ili tu aniache siku hiyo ili nikajipange jinsi ya kuepukana nae na kuikabili ile hali
alinikomalia sana hadi kunivamia physically na alionekana wazi alikua desperate for sex ila nilifanikiwa kumpanga na akanielewa baada ya hiyo siku ofisi nzima wakahisi nilizini na yule boss hivyo kukawa na minong'ono mingi na sikuwa na namna ya kuwaaminisha vinginevyo.

Tangu hapo ni wiki ya pili sasa huyu mama ananisumbua sana, ananiahidi mambo mengi kama nitakubali kusex nae na ni dhahiri nikimtamkia kuwa SITAKI nitapoteza kibarua kwani ye ndo meneja hapa na ndo anaajiri na kusitisha ajira,

leo hii (j mosi) kanipigia simu na kuniambia kesho saa saba ana kikao na mimi cha kikazi ila location naona hata aibu kuisema. Wakuu najua kuna watu humu wakike na kiume ambao wamekutana na hali kama yangu,

naipenda kazi na sina pa kushikilia kwa sasa lakini pia sitaki kuisaliti imani yangu na msimamo kwa kupenda vitu vya dezo na kufanya uzinzi na mtu wa rika la mama yangu, ni dhambi kubwa na pia ni kinyume cha maadili ya jamii yetu lakini pia nikifikiria matokeo ya kuachishwa kazi (na mipango niliyokwisha iweka kichwani kwangu) roho inaniuma sana nabaki nikiwaza na kuwazua bila kujua haswaa nishike wapi.

Msimamo wangu ni kutokulala na huyu mama no matter the consequences ila naomba mnipe chakula cha akili ili akinifukuza kazi basi niwe nimeimarika kisaikolojia kwa ushauri wenu na nisitetereke sana kisaikolojia.

Asanteni
wewe kama ulivyo'onyesha msimamo wa kukataa sex na huyo boss wako" basi tafuta Jinsi yoyote ya kufanya ajue wewe nani hi....... yako haifanyi kazi atakupotezea
 
Mkuu bado sijapokea mshahara wa kwanza ningekua nimepata ingekua nafuu zaidi, nategemea wiki ijayo ndo nitapata. Asante
ahaaaa temptation at work, anyway kama hauko tiyari basis kuwa tiyar kuacha kazi ila ukizidiwa usisahau condom + kupima

note. mm niliacha kazi tena ya serikali kwa mambo kama hayo huyo baba boss wangu alinitesa kaniwekea vikwazo nisirudi masoni, niliamua siku moja nikamkabidhi vitu nikasepa chuo, nikafungiwa mshahara hadi leo sijawahi kurudi na sijutii so amua moja,
 
Endelea kumpiga tarehe ili wiki ijayo upokee mshahara wako...

Kisha uwe tayari kupoteza kazi ikibidi. Halafu mshahara utakaopokea ukagungue biashara yako
 
Back
Top Bottom