Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Amina, wengi tunasahau kuwa Mungu anaepanga kila jambo. Na tunaishia kuwaabudu wanadamu ili tu tupate mahitaji au huduma fulani na kusahau yupo mgawa rizikiDaaah...umeongea vyema sana! Yeye amshikilie Mungu tu...kazi kama kupata atapata kwingine..Riziki yake haijafungwa kwa mtu flan..anaejua Mungu tu..mwanadamu ni nani hata akuhangaishe! Simama na msimamo wako..shetani alishashindwa tayari mbona! Mungu hua upande wao wanaomtegemea! Ikimbie hiyo zinaa ndugu!