Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Hii stori ni ya kutunga.. Mwanamme akiwekwa kati na mwanamke hachomoki... 99% ..unatuuzia kahawa hatutaki.
 
Nimesoma maoni ya kila mtu na naamini yatanisaidia sana. Asanteni sana wakuu hili suala linaninyima hadi usingizi ila naamini litaisha salama, asanteni sana sana dada na kaka zangu / baba na mama
 
Kama unauwezo Fanya kama mimi ,,Jifanye jogoo hapandi mtungi,,maana mimi nililala siku tatu na Mdada bila kudindisha kabisa ,,Kweli nikaamini kama mtu humpendi sisi wa kiume kubakwa ni ngumu sana,,Kilichofuata aliniaga na kuahidi kunitafutia dawa ila nilikuwa salama kwa malengo yangu,,Inahitaji uvumilivu sana Kama kweli unavyosema ni kama mama yako mzazi
Itabid uhakikiwe unawez kuwa hewa
 
Ewak
Duh! Mungu akusaidie. Hilo jaribu lakufaa ulishinde then ufaulu, nenda kamsikilize ukiona ni ngono plz mwambie unaumwa alafu unavidonda sehemu za siri........nenda kanunue dawa dukani nenda weka mfukoni ukamuonyeshe kuwa umeanza dozi maana hata usiku hukulala..........nenda ukiwa mdhaifu goigoi kabisa. Subiri ushauri wa wengine kama wangu hautafaa
Realest one...
 
Kama vipi waone pccb, waeleze mkasa wote kama ulivyo cozi kisheria hiyo ni rushwa ya ngono na ikithibitika kazi yako itanusurika though itakujengea mazingira magumu ya kikazi lakini utaponya vizazi vijavyo
 
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na sikutaka kabisa kuwa tegemezi kwa mtu yoyote (wakiwemo wazazi) niliamini kunipa elimu ni mtaji muhimu na tosha na lilikua jukumu langu kuandaa maisha yangu mwenyewe na kujitegema

Nilipofika pale niliomba kuonana na boss ila nikaambiwa haiwezekani labda ningekua na appointment, kutokana na uzoefu hii kauli nilikua nimekutana nayo mara kadhaa hivyo ilikua hainisumbui sana, nikamwambia yule receiptionist kuwa nilikua na appointment (kiukweli sikua nayo na nakiri nilidanganya na nilikosea ila sikuwa na namna mbadala) akaniuliza nimwambie we ni nani nikasema mwambie (tax consultant)

Waliongea mawili matatu then nikaruhusiwa kuingia nadiriki kusema shida ni mwalimu mkubwa sana kwani sikuwa na woga wowote kuonana na yeyote na kujinadi, baada ya mazungumzo na mahojiano ya kama dakika sita yule manager (mwanamke) akaniambia alhamisi niende nikafanye interview na kutokana na intro niliyoitoa hiyo siku (Jumanne).

Haikua kazi kwangu kupata hiyo kazi hata baada ya interview ya alhamisi, tulikubaliana terms za kazi na mshahara then nikapewa mkataba. Nilifurahi sana nikijua sasa mipango yangu itaenda vema (kwakweli mshahara ulikua mzuri tu) hadi nikaanza kupangilia biashara ndogondogo ili kuinua uchumi wangu.

Nilianza kazi wiki iliyofuata na wafanyakazi wenzangu walikua watu wema sana kwangu hivyo nilifanya kazi kwa furaha na ufanisi sana mpaka hali ilipokuja kubadilika.

MABADILIKO

Baada ya wiki moja mambo yalianza kubadilika pale ofisini, mara kwa mara boss alikua na vikao visivyokua na mbele wala nyuma na mimi na akawa mkali kwa wafanyakazi wenzangu especially wa kike na taratibu wakaanza kuniogopa.

Siku moja aliniita ofisini (ilikua Ijumaa) na akaniambia nifunge mlango nilishtuka sababu normally ukiingia ofisini lazima ufunge mlango cha kushangaza akaniambia ni-u lock nikafanya alivyotaka,

Hakuna cha maana alichoniambia zaidi ya story za kifamilia tu oooh mara mumewe (aliekuwa meneja kabla hajaumwa) anasumbuliwa na kisukari na presha na anapata taabu sana mi nikawa msikilizaji tu na aliongea muda mrefu hadi jua likazama na watu waliondoka ofisini alibaki mlinzi tu.

Aliongea mengi na mwisho akaniambia anataka nimsaidie (ngono) kitu ambacho kilinishtua kidogo ukizingatia ni mtu mzima rika la mamaangu, nilimbembeleza kuwa hapo si pahali salama ili tu aniache siku hiyo ili nikajipange jinsi ya kuepukana nae na kuikabili ile hali.

Alinikomalia sana hadi kunivamia physically na alionekana wazi alikua desperate for sex ila nilifanikiwa kumpanga na akanielewa baada ya hiyo siku ofisi nzima wakahisi nilizini na yule boss hivyo kukawa na minong'ono mingi na sikuwa na namna ya kuwaaminisha vinginevyo.

Tangu hapo ni wiki ya pili sasa huyu mama ananisumbua sana, ananiahidi mambo mengi kama nitakubali kusex nae na ni dhahiri nikimtamkia kuwa SITAKI nitapoteza kibarua kwani ye ndo meneja hapa na ndo anaajiri na kusitisha ajira,

Leo hii (Jmosi) kanipigia simu na kuniambia kesho saa saba ana kikao na mimi cha kikazi ila location naona hata aibu kuisema. Wakuu najua kuna watu humu wakike na kiume ambao wamekutana na hali kama yangu,

Naipenda kazi na sina pa kushikilia kwa sasa lakini pia sitaki kuisaliti imani yangu na msimamo kwa kupenda vitu vya dezo na kufanya uzinzi na mtu wa rika la mama yangu, ni dhambi kubwa na pia ni kinyume cha maadili ya jamii yetu lakini pia nikifikiria matokeo ya kuachishwa kazi (na mipango niliyokwisha iweka kichwani kwangu) roho inaniuma sana nabaki nikiwaza na kuwazua bila kujua haswaa nishike wapi.

Msimamo wangu ni kutokulala na huyu mama no matter the consequences ila naomba mnipe chakula cha akili ili akinifukuza kazi basi niwe nimeimarika kisaikolojia kwa ushauri wenu na nisitetereke sana kisaikolojia.

Asanteni


Sijasoma Post yako..ila mpe..kama ulikuwa hutaki kumpa mzigo..unataka ushauri wa nini..mpe tu..tena kavu..ukiisha mpa njo uje utuambie ayajuya mambo au anahema kama mwenye kitambi
 
Kweli watu tunatofautiana aisee. Na nimeamini mara nyingi milango ya fursa huwaangukia wasiojua kuzitumia. Hakika kwenye miti mingi hakuna wajenzi. Hukupaswa kusubiri mpaka akuite kukutongoza in the first place, ulipaswa kujiongeza na kusoma alama za nyakati tangu day one, na kama mda ulikua unaruhusu ungeomba hiyo kazi na papuchi siku hiyo hiyo ya kwanza
 
Bongo movie...

Unasema ni wiki ya pili tangu uwe kazini hapo hapo unatuambia kuwa mshahara umekusaidia kuinua "Tu-vitega " uchumi kadhaa....

Mimi sijakuelewa kabisa...
 
Baki na msimamo wako,kama kweli mungu kakupangia kazi nina imani utapata tu.Unaweza ukamridhisha baadae akakusaliti tu na hata kukufukuza kazi.Kumbuka kama yupo tayari kumsaliti mumewe kwasababu ya ugonjwa je ww wa kuja tu?baki na msimamo wako.
 
wewe ndiye unayejua ugumu wa maisha, hao wanao kushauri usimgonge hawatakusaidia chochote ukifukuzwa kazi, ushauri wangu wewe mgonge kondom si zipo
 
Back
Top Bottom