Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

Usifanye ngono na huyo mama utakuja jutia maisha yako yote. We shikiria msimamo wako na ajira isiwe chanzo cha kukatisha ndoto za maisha yako mana ukifanya tu atakupiga pin hakuna hakuna kuoa au kuwa na girlfriend isipokuwa yy na utapewa kila kitu ila ukipindisha tu kifo kinakuita kwa iyo me ningeshauri usithubutu kutembea na huyo mama.
 
Bongo movie...

Unasema ni wiki ya pili tangu uwe kazini hapo hapo unatuambia kuwa mshahara umekusaidia kuinua "Tu-vitega " uchumi kadhaa....

Mimi sijakuelewa kabisa...

Naomba rudia kusoma mkuu. Asante
 
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na sikutaka kabisa kuwa tegemezi kwa mtu yoyote (wakiwemo wazazi) niliamini kunipa elimu ni mtaji muhimu na tosha na lilikua jukumu langu kuandaa maisha yangu mwenyewe na kujitegema

Nilipofika pale niliomba kuonana na boss ila nikaambiwa haiwezekani labda ningekua na appointment, kutokana na uzoefu hii kauli nilikua nimekutana nayo mara kadhaa hivyo ilikua hainisumbui sana, nikamwambia yule receiptionist kuwa nilikua na appointment (kiukweli sikua nayo na nakiri nilidanganya na nilikosea ila sikuwa na namna mbadala) akaniuliza nimwambie we ni nani nikasema mwambie (tax consultant)

Waliongea mawili matatu then nikaruhusiwa kuingia nadiriki kusema shida ni mwalimu mkubwa sana kwani sikuwa na woga wowote kuonana na yeyote na kujinadi, baada ya mazungumzo na mahojiano ya kama dakika sita yule manager (mwanamke) akaniambia alhamisi niende nikafanye interview na kutokana na intro niliyoitoa hiyo siku (Jumanne).

Haikua kazi kwangu kupata hiyo kazi hata baada ya interview ya alhamisi, tulikubaliana terms za kazi na mshahara then nikapewa mkataba. Nilifurahi sana nikijua sasa mipango yangu itaenda vema (kwakweli mshahara ulikua mzuri tu) hadi nikaanza kupangilia biashara ndogondogo ili kuinua uchumi wangu.

Nilianza kazi wiki iliyofuata na wafanyakazi wenzangu walikua watu wema sana kwangu hivyo nilifanya kazi kwa furaha na ufanisi sana mpaka hali ilipokuja kubadilika.

MABADILIKO

Baada ya wiki moja mambo yalianza kubadilika pale ofisini, mara kwa mara boss alikua na vikao visivyokua na mbele wala nyuma na mimi na akawa mkali kwa wafanyakazi wenzangu especially wa kike na taratibu wakaanza kuniogopa.

Siku moja aliniita ofisini (ilikua Ijumaa) na akaniambia nifunge mlango nilishtuka sababu normally ukiingia ofisini lazima ufunge mlango cha kushangaza akaniambia ni-u lock nikafanya alivyotaka,

Hakuna cha maana alichoniambia zaidi ya story za kifamilia tu oooh mara mumewe (aliekuwa meneja kabla hajaumwa) anasumbuliwa na kisukari na presha na anapata taabu sana mi nikawa msikilizaji tu na aliongea muda mrefu hadi jua likazama na watu waliondoka ofisini alibaki mlinzi tu.

Aliongea mengi na mwisho akaniambia anataka nimsaidie (ngono) kitu ambacho kilinishtua kidogo ukizingatia ni mtu mzima rika la mamaangu, nilimbembeleza kuwa hapo si pahali salama ili tu aniache siku hiyo ili nikajipange jinsi ya kuepukana nae na kuikabili ile hali.

Alinikomalia sana hadi kunivamia physically na alionekana wazi alikua desperate for sex ila nilifanikiwa kumpanga na akanielewa baada ya hiyo siku ofisi nzima wakahisi nilizini na yule boss hivyo kukawa na minong'ono mingi na sikuwa na namna ya kuwaaminisha vinginevyo.

Tangu hapo ni wiki ya pili sasa huyu mama ananisumbua sana, ananiahidi mambo mengi kama nitakubali kusex nae na ni dhahiri nikimtamkia kuwa SITAKI nitapoteza kibarua kwani ye ndo meneja hapa na ndo anaajiri na kusitisha ajira,

Leo hii (Jmosi) kanipigia simu na kuniambia kesho saa saba ana kikao na mimi cha kikazi ila location naona hata aibu kuisema. Wakuu najua kuna watu humu wakike na kiume ambao wamekutana na hali kama yangu,

Naipenda kazi na sina pa kushikilia kwa sasa lakini pia sitaki kuisaliti imani yangu na msimamo kwa kupenda vitu vya dezo na kufanya uzinzi na mtu wa rika la mama yangu, ni dhambi kubwa na pia ni kinyume cha maadili ya jamii yetu lakini pia nikifikiria matokeo ya kuachishwa kazi (na mipango niliyokwisha iweka kichwani kwangu) roho inaniuma sana nabaki nikiwaza na kuwazua bila kujua haswaa nishike wapi.

Msimamo wangu ni kutokulala na huyu mama no matter the consequences ila naomba mnipe chakula cha akili ili akinifukuza kazi basi niwe nimeimarika kisaikolojia kwa ushauri wenu na nisitetereke sana kisaikolojia.

Asanteni
Haya mambo so complicated kwa kweli
 
Ndugu yangu kuna mda inabidi kuwa na jeuri hata kama maisha magumu, na kama uliweza kupata hii kazi hata kazi nyingine unaweza kupata kwahiyo basi kama huko tayari naomba ukatae kabisa riziki hutolewa na mungu na ndio ajuae kesho yetu
 
Muombe mkapime afya na uende hospital unayoitaka ww si akupeleke anayepanga yy mkiwa salama mfanyie mapenzi ya ajabu mpaka ajione mwenye bahati.
Baada ya hapo tengeneza mkopo feki kuwa mnadaiwa kama familia milioni 20 akikuomba mchezo kataa kuwa una mawazo sana akikumbuka ulivyomnyonya kila kona lzm akupe akikupa unapita na mia nane umetoka mzee
 
Hii rushwa ya ngono na sexual harrasment. Unapaswa kumripoti kwenye vyombo vya sheria Takukuru au Mtafute mumewe muuombe msaada mubumbulushe hilo dili. Huyu mama ni hatari ni sexual preditor madhala yake kwa jamio ni makubwa kwa jamii. Usiwe mbinafsi leo wewe kesho mungine, anaweza kuwa ndugu yako au boy friend wa atakaye kuwa mchumba wako au mchumba wa ndugu yako. Achana ma ushauri wa vijana wenzio. Ikithibitika kuwa anakuharasi sexual mbele ya macho ya watu itakuwa protection tosha ya kurinda ajira yako. Huu ndio ushauri wangu lakini pia Mungu akuongoze.
 
Hii rushwa ya ngono na sexual harrasment. Unapaswa kumripoti kwenye vyombo vya sheria Takukuru au Mtafute mumewe muuombe msaada mubumbulushe hilo dili. Huyu mama ni hatari ni sexual preditor madhala yake kwa jamio ni makubwa kwa jamii. Usiwe mbinafsi leo wewe kesho mungine, anaweza kuwa ndugu yako au boy friend wa atakaye kuwa mchumba wako au mchumba wa ndugu yako. Achana ma ushauri wa vijana wenzio. Ikithibitika kuwa anakuharasi sexual mbele ya macho ya watu itakuwa protection tosha ya kurinda ajira yako. Huu ndio ushauri wangu lakini pia Mungu akuongoze.

Asante kwa ushauri mkuu
 
Najiandaa kwenda kuonana na huyu mama, dua zenu ni muhimu nisitetereke lakini pia asanteni kwa ushauri na nitazingatia. Nitawapa mrejesho pia wakuu baada ya kila kitu kukaa sawia
 
Huyo mbona mchache.kama humtaki kumkojolea,mwambie umeadhilika hapo kwa utaratibu na umwambie hupendi kuua
 
Mkuu maandiko matakatifu yanafundisha kuwa njia pekee ya kuishinda zinaa ni kuikimbia.

Kama alivyofanya mtumishi wa Mungu Yusufu.

Nami nakushauri ikimbie zinaa. Mungu atakusaidia mbele kwa mbele.

Jumapili njema.
 
Kaka hivi kwanini usitafune huyo? Mi sipendi kulialia mtoto wa kiume utafikiri uko darasa la nne....tafuna tu ili uje kuwa CEO we unamatatizo gani?MKUKUTA huo shauri yako....kwanza ushaharibu hapa ujue nayeye ameisoma hii habari kesho ukifika tu ofisini unakutana na barua yako......


Just kidding...Pole ndugu yangu Mungu akutie busara katika kuhandle suala hilo ila ingekua mimi ningemtafuna mchana kweupe kama simjui vile
 
Itakuwa huyo boss wako hana sura ya kuvutia. hivyo wanaume rijali hawaangaiki naye hadi anajiangaisha kwako, vilevile angekuwa vizur hata usingekuja hapa kulia lia eti kisa ni mkubwa, ungekuwa umeshamtafuna tayr.
 
Rudi usome vizir mkataba wako

Then tumia saikolojia ukionyesha upo karbu nae muweke karbu sana hata kimaongezi na usishtuke hadi kuonyesha mabdlko ofcn

Jifanye umemuelewa na upo tyar kutmza ayatakayo ila mwambia una mapungufu fulan (HIV+) or f(xl)ess. Ila mpe ukarbu na umwambie hilo tatzo lake liwe siri kwake hivyo ataamin na kuwa huru kwamba mtatunziana siri


Ila kama hautak kumfumua

Ila kama una maind mzgo kapme ufumue kwa maana hakuna namna nyingine
 
[HASHTAG]#ukishndwa[/HASHTAG]. Wew ni pm no yake nitakusaidia maana mimi ni mtumzma mwenzake ila acwe na ngoma (nikuepushie ilo janga)
 
Aisee!!! Pole sana kaka kwa jaribu unalopitia, kwanza kabisa unaonekana unajiheshimu na hupendi ujinga maana angekuwa mtu mwengine hapo mwenye kupenda dezo angeona bahati imemuangukia, kwa ushauri wangu mzungushe kwanza hadi upate mshahara jifanye hata unaumwa na unaendelea na dozi haraf baada ya kupata tu mshahara mwambie Napenda sana kufanya kazi hapa na nimeangaika sana hadi kuipata hii kazi lakin katika maisha yangu sikutegemea hata cku Moja itokee nije ku sex na kuanzisha mahusiano ya mapenz na mtu yoyote nikiwa kazini kwa heshima ninayo kupa boss wangu sitaweza kabisa kuwa na wewe naomba utafute tu mtu mwengine kama hautaki basi nifukuze tu hata kazi Malipo ni hapa hapa duniani Mungu atanisaidia kama nilivyopata kazi hapa bac nitapata pia sehemu nyengine, Pole sana kaka.
 
,,,,<<<<< WE Kweli ni wa KIUME ww>>> kula ''mashine ww upate cheo ila tumia kinga """ ni pm nataka no ya boss wako ,,,,nimpe kitu kwa niaba yako>>
 
Ushauri wangu mwambie mkapime afya zaidi ya Mara tatu kwenye vituo tofauti, ukikuta yuko salama mgegede hata Kwa condom then endelea na kaza,
my take usione watu wengi wako kazini na wanapokea mishahara wanakutana na mambo makubwa zaidi.
Hayo mambo yapo sana sema watu hawayasemi, chukua ushauri wangu huu hautojuta ila mwambie muweke kausiri flani hivi, hata ikijulikana lakini isiwe wazi.
 
Huyo boss akiwapata hawa nyege zote zitakwisha!
axis of evil.jpg
 
Back
Top Bottom