Bosi anamkosesha raha

Bosi anamkosesha raha

hii imenikumbusha jamaa mmoja alikuwa banker nmb home huko.
kapata mdada mmoja bhana si akampiga limbwata!! dozi ilikolezwa mpaka jamaa akadata, akiingia kazini kwenye slip za wateja anaandika jina la yule mwanamke mwanzo mwisho.
maza akambana yule dada akakiri kufanya ulozi kwa jamaa na kazini akawa katolewa.
mpaka leo wanaishi kwa shida tu. inatia huruma sana

Inasikitisha sana, lakini kwa hii issue ninaamini ni neurology problem. Cha ajabu ni akili ya binadamu ikikosea step do.
 
Mmmmm mbaya hiyo,boss wangu alikosea kumuita jina mkewe akamuita jina langu kimakosa mbona mke alikuja kunitafuta
kazini eti nimweleze why mumewe kaniita jina langu,alinitukana mpaka alipo maliza akaondoka,sikumjibu manake mumewe nilikua namuheshimu sana na pia nilikua nakwenda kusoma sasa sikutaka kisirani cha kitu kizima, so mwambie shosti wako wala asijitie BP hutokea...
..teh teh, isije kuwa alimwita jina lako wakati wakiwa faragha. That hurts, hata angekuwa mwingine lazima wivu ungemshika. Lakini bwana, workmates wanatumia mda mwingi pamoja, kuanzia saa moja hadi kumi na moja, mimi naona ulimi ukiteleza ni kawaida tu.
 
Hata nnajua ilikua wakati gani? halafu mbaya zaidi 2yrs nilikua na report kwa mumewe na kama yeye hayupo na takeover mimi sasa nimemuelewa mkewe alivyokua akitukana,na nilimwambia nakuelewa unavyotukana hata mimi ningekua kwenye nafasi yako may be ningefanya zaidi ya kutukana,nikajua imekua afadhali DUU ndio imemkera zaidi kaenda kumwambia mumewe umeona bora uchukue mwarabu kabisa umuweke karibu yako mpaka ananitukana,nikaona isiwe tabu bora
niepushe shari nikaenda kusoma....wallah in life unakutana na vituko vingi sanaaaa..
 
mamaeee
ukiona manyoya................

Boss alishapiga choo cha shost apo..maana kama kazaa njemba nne unafikiri boss alitaka zepusi au zebaki??
 
mamaeee
ukiona manyoya................

Boss alishapiga choo cha shost apo..maana kama kazaa njemba nne unafikiri boss alitaka zepusi au zebaki??
FANAAAAREEKI ASHAKUM SI MATUSI DOOOOH,MUOMBE RADHI MKUU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom