Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,776
Shost ameolewa na watoto wanne, anafanya kazi katika mradi wa mmoja wa jamii mjini. Story iko hivi yeye ni among seniors kwenye mradi, head wake ni professor lakini yule baba amepata mental health issues.
Kazi hawezi kufanya tena, haongei na mtu, haongei hata neno moja, yeye hukaa na kalamu na daftari, sasa kuna anayoandika kwenye daftari kutwa nzima akikaa. Madaktari wanaomtibu walitaka wajue anaandikaga nini. Cha ajabu huwa anarudia kuandika jina la shost tena la kimila ambalo hata mume wake halifahamu.
Hali hii inamkosesha shost raha sana, ananiambia walizoeana kama colleagues, na lile jina aliliona kwenye document za shost kiofisi. Jamani yaani huyu baba ndiyo amelishika hilo jina.