ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Aliyataka,unarudije home kinyemela kama mwizi. Kutafuta maumivu ya hiari sipendagi mimi.
Kati ya hizi ni ipi hapo...?Naomba kajaribu harafu unipe mrejesho tafadhar
Huyo jamaa yako Ni dhaifu Kama bunge fulani.mimi nisingechelewesha aidha jamaa angeenda polisi au ningeuza hata nyumba Kisha Nika fanye yangu mengine mapya yaani wao si wameaamua kuniletea fujo kwangu Mimi nawavuruga kabisa tutajua mbele kwa mbele
Ni true hii brooStori za kwenye kahawa
Hahahaha na wewe unatoaga??Popo kanyea mbingu😂😂😂, ukute hio style hata yeye mume hajawahi kupewa 😂😂😊😊..aliyesema mapenzi kizungumkuti hakukosea
Eti hapo anajidai angefanya uamuzu wa busara , yanini niende jela yeye ale bata uraiani huo upopompo cfanyi. hapo full talaka tu.Ayo mawazo ya kipuuzi uchi wake anautumia anavyo taka sasa niue nikafie jela na mwanamke anabaki nje wanaendelea kumla.
mbona kama vile wewe ndo dhaifu.. jamaa ana mental toughness, we huna.Huyo jamaa yako Ni dhaifu Kama bunge fulani.mimi nisingechelewesha aidha jamaa angeenda polisi au ningeuza hata nyumba Kisha Nika fanye yangu mengine mapya yaani wao si wameaamua kuniletea fujo kwangu Mimi nawavuruga kabisa tutajua mbele kwa mbele
Usiseme hivyo nakuhakikishia wallah wapi wanaume wanaowapeleka michepuko yao nyumbani kbsa!!ila kuna wanawake akili hawana kabisa,unaanzaje kumpeleka mwanaume kwenye nyumba ya mumeo! yani mimi hapa na uanamme wangu siwezi mpeleka mwanamke nymbani kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisikukamate.Muulize huyu dada cute b anaijua vizuri..