Hapo ndo story ilipoleta uchaiKafumaniwa still akawa na nguvu ya kupizi.Fundi kiboko
Huyo rafiki yako ana undugu na Jerry Muro?Jamaa yangu mmoja ameoa na wamebahatika kupata mtto mmoja alichaguliwa kwenda kwenye majukum ya taifa nje ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja aliporudi akasikia tetesi mke wake alikuwa anavunja ile amri na jamaa fundi seremala mmoja wa pale kitaa, jamaa hakutilia maanani izo taarifa lakini baadae zilikuja kuwa kero kwenye maskio yake kutokana na watu wengi kumwambia the same story ikabdi jamaa aanze kufuatilia ilo suala kwa ukaribu siku moja akawa mkoa jirani tu ktk majukum yale yale ilipofika weekend akachomoka kisela tu kwenda nyumbani kwake bla kumpa infor mke wake so jamaa kufika kwa sababu na yeye anafunguo zake akaingia ndani,duh anamkuta mamsap amekunjwa style ya popo kanyea mbingu na yuleyule fundi seremala
Jamaa ikabidi awaambie waendelee kunjunjana fundi seremala akaoneka anaogopa sana lakini jamaa ikabidi amkomalie sana mpaka jamaa akapiz kisha baada ya hapo akamruhusu fundi seremala aondoke lakini yeye abaki na mke wake, jamaa akaenda kula kitaa baada then akarudi kujipumzisha sasa akawa anajifanyia kazi zake yeye mwenyewe kupika,kufua,kunyoosha na n.k mke akipika jamaa hali mke baada ya kuona ivyo ikabdi aondoke akaenda kwao wazazi wa binti wanampigia sim jamaa kumuuliza kwanini umemfukuza mkeo jamaa anasema mimi sijamfukuza mwambieni arudi hapa ni nyumbani kwake bado namuhitaji mke wangu,binti anaogopa kurudi na hawezi kuwaeleza ukweli wazazi wake.
Ukipewa style hii, usioeKati ya hizi ni ipi hapo...?View attachment 1117872View attachment 1117873
Nisamehe shem..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisikukamate.
Nakushitaki kwa rafiki yako.Nisamehe shem..
Samahan hivi ikoje ikoje iyo stylePopo kanyea mbingu[emoji23][emoji23][emoji23], ukute hio style hata yeye mume hajawahi kupewa [emoji23][emoji23][emoji4][emoji4]..aliyesema mapenzi kizungumkuti hakukosea
Samahan hivi ikoje ikoje iyo style
Huyo jamaa yako Ni dhaifu Kama bunge fulani.mimi nisingechelewesha aidha jamaa angeenda polisi au ningeuza hata nyumba Kisha Nika fanye yangu mengine mapya yaani wao si wameaamua kuniletea fujo kwangu Mimi nawavuruga kabisa tutajua mbele kwa mbele
Co nije pm unifundishe mana mimi mgen ujueI google mkuu
Co nije pm unifundishe mana mimi mgen ujue
Mkuu nije nimuombe shemeji aniazime wewe kwa cku moja unifundishe.mkuuMmmnh njoo na mkeo niwafundishe
Jamaa yangu mmoja ameoa na wamebahatika kupata mtto mmoja alichaguliwa kwenda kwenye majukum ya taifa nje ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja aliporudi akasikia tetesi mke wake alikuwa anavunja ile amri na jamaa fundi seremala mmoja wa pale kitaa, jamaa hakutilia maanani izo taarifa lakini baadae zilikuja kuwa kero kwenye maskio yake kutokana na watu wengi kumwambia the same story ikabdi jamaa aanze kufuatilia ilo suala kwa ukaribu siku moja akawa mkoa jirani tu ktk majukum yale yale ilipofika weekend akachomoka kisela tu kwenda nyumbani kwake bla kumpa infor mke wake so jamaa kufika kwa sababu na yeye anafunguo zake akaingia ndani,duh anamkuta mamsap amekunjwa style ya popo kanyea mbingu na yuleyule fundi seremala
Jamaa ikabidi awaambie waendelee kunjunjana fundi seremala akaoneka anaogopa sana lakini jamaa ikabidi amkomalie sana mpaka jamaa akapiz kisha baada ya hapo akamruhusu fundi seremala aondoke lakini yeye abaki na mke wake, jamaa akaenda kula kitaa baada then akarudi kujipumzisha sasa akawa anajifanyia kazi zake yeye mwenyewe kupika,kufua,kunyoosha na n.k mke akipika jamaa hali mke baada ya kuona ivyo ikabdi aondoke akaenda kwao wazazi wa binti wanampigia sim jamaa kumuuliza kwanini umemfukuza mkeo jamaa anasema mimi sijamfukuza mwambieni arudi hapa ni nyumbani kwake bado namuhitaji mke wangu,binti anaogopa kurudi na hawezi kuwaeleza ukweli wazazi wake.
Popo kanyea mbingu[emoji23][emoji23][emoji23], ukute hio style hata yeye mume hajawahi kupewa [emoji23][emoji23][emoji4][emoji4]..aliyesema mapenzi kizungumkuti hakukosea
Aiseeh nimeipenda hii,Kuna kipindi enzi hizo nimemaliza advance nasubiri kwenda chuo nilikuwa naishi kwa bro alimpa mkewe adhabu kama hiyo, japo wao issue haikuwa cheating. Huyu shem wangu alikuwa hana time na kujali afya ya mumewe. Every time jamaa anatoka long safari anajinyima sana anabana hela walau afike nyumbani na mapocho pocho mengi. Unakuta njiani hali msosi akifika home hakuna hata uji wala chai. Mke yuko busy na normal family routine za msosi. Jamaa anaweza fika saa kumi jioni, akajikuta anasubiri tule msosi kwa ratiba ya saa mbili usiku, alafu ukute pamepikwa wali ambao jamaa siyo chakula chake.
Siku aliyochoka kuvumilia mateso, aliniita, akaniambia mdogo wangu, hawa wanawake ni mataira sana. Omba Mungu upate mke anayekujali la sivyo vidonda vya tumbo viko karibu. Akaniambia kuanzia sasa jifunze kuficha hela, mwanamke asijue kama una hela ya ziada, wakati mwingine upite sehemu ule chochote ili ukifika home hata kama mnachelewa kula usiteseke maana wewe unashinda shamba, la sivyo iko siku utazimia kwa njaa. Kweli bro akawa ananipa hela ya ziada tukiwa peke yetu bila shem kujua.
Ilifika kipindi uvumilivu ulimshinda bro. akaamua kujihudumia kwa kila kitu, kufua nguo zake, kupika chakula chake, kupasha maji ya kuoga asubuhi, ananyoosha nguo zake akienda ofisini, anaandaa breakfast, akirudi jioni anapita sokoni ananunua mahitaji, akifika nyumbani anaingia jikoni. Sasa kila kinachopikwa na mke jamaa hagusi. Hata kama pamepikwa ugali na yeye anataka ugali ataenda kupika wa kwake. Issue ilienda kama wiki moja hivi, mke aliblow, kuna siku alilia kama mtoto mdogo, akataka arudi kwao, jamaa akasema sawa nenda. Baadaye walisuluhishana na tangu siku hiyo mwanamke alinyooka. Then bro akaja kuniita tena akaniambia ukija kuoa, usije ukampiga mkeo... kama unaweza adhabu kama hizi ni bora mara mia. Aisee, wee acha tu inauma sana. Sasa nina miaka zaidi ya 10 sijawahi kupiga mtu, naitumia hii mbinu lakini kwa uchache sana maana nikigusa tu mtu chali...
Hata iyo ni hatua muda mwingine kisasi kizuri kuliko vyote ni msamaha sema tu mke wake haamini kama kasemehewaStori ya kusadikika hii, wanaume hawa hawa asichukue hatua yoyote hapana
Mmmh, hatua hapana yaani ukae kimya tu ,we ndege ungefanya hivyo kweli?Hata iyo ni hatua muda mwingine kisasi kizuri kuliko vyote ni msamaha sema tu mke wake haamini kama kasemehewa