Bora ungenipiga tu kuliko adhabu hii

Bora ungenipiga tu kuliko adhabu hii

ndegemzungu

Member
Joined
Mar 10, 2019
Posts
92
Reaction score
248
Jamaa yangu mmoja ameoa na wamebahatika kupata mtto mmoja alichaguliwa kwenda kwenye majukum ya taifa nje ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja aliporudi akasikia tetesi mke wake alikuwa anavunja ile amri na jamaa fundi seremala mmoja wa pale kitaa, jamaa hakutilia maanani izo taarifa lakini baadae zilikuja kuwa kero kwenye maskio yake kutokana na watu wengi kumwambia the same story ikabdi jamaa aanze kufuatilia ilo suala kwa ukaribu siku moja akawa mkoa jirani tu ktk majukum yale yale ilipofika weekend akachomoka kisela tu kwenda nyumbani kwake bla kumpa infor mke wake so jamaa kufika kwa sababu na yeye anafunguo zake akaingia ndani,duh anamkuta mamsap amekunjwa style ya popo kanyea mbingu na yuleyule fundi seremala
Jamaa ikabidi awaambie waendelee kunjunjana fundi seremala akaoneka anaogopa sana lakini jamaa ikabidi amkomalie sana mpaka jamaa akapiz kisha baada ya hapo akamruhusu fundi seremala aondoke lakini yeye abaki na mke wake, jamaa akaenda kula kitaa baada then akarudi kujipumzisha sasa akawa anajifanyia kazi zake yeye mwenyewe kupika,kufua,kunyoosha na n.k mke akipika jamaa hali mke baada ya kuona ivyo ikabdi aondoke akaenda kwao wazazi wa binti wanampigia sim jamaa kumuuliza kwanini umemfukuza mkeo jamaa anasema mimi sijamfukuza mwambieni arudi hapa ni nyumbani kwake bado namuhitaji mke wangu,binti anaogopa kurudi na hawezi kuwaeleza ukweli wazazi wake.
 
Huyo jamaa yako Ni dhaifu Kama bunge fulani.mimi nisingechelewesha aidha jamaa angeenda polisi au ningeuza hata nyumba Kisha Nika fanye yangu mengine mapya yaani wao si wameaamua kuniletea fujo kwangu Mimi nawavuruga kabisa tutajua mbele kwa mbele
 
Nimependa sana hii
 
Ayo mawazo ya kipuuzi uchi wake anautumia anavyo taka sasa niue nikafie jela na mwanamke anabaki nje wanaendelea kumla.
 
ila kuna wanawake akili hawana kabisa,unaanzaje kumpeleka mwanaume kwenye nyumba ya mumeo! yani mimi hapa na uanamme wangu siwezi mpeleka mwanamke nymbani kwangu

Ni kweli mkuu..hii ni kumkosea sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi Iyo staili ya popo kanyea mbingu Ndo ikoje Wakuu Ebu mwenye ujuzi anifahamishe na mim nivunje jungu kesho Iyo
 
ila kuna wanawake akili hawana kabisa,unaanzaje kumpeleka mwanaume kwenye nyumba ya mumeo! yani mimi hapa na uanamme wangu siwezi mpeleka mwanamke nymbani kwangu
Omba yasikukute wanawake hawana hela
 
BTW hii ni stori hakuna ukweli wowote umeamua kuchangamsha bunge tu.

Kuna kipindi miaka ya 2009-2012 ilikuwa inatembea sana story ya Mwanajeshi kumfumania mkewe na akafanya hivyohivyo akaendelea kuishi na mkewe ila kila siku alikuwa akinoa panga na kulirudisha ndani hatimaye mke akaondoka mwenyewe.
 
[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Smart guy
 
Back
Top Bottom