Bora niwe mpweke

Hilo la umri pia ndilo linalonichanganya zaidi na ndo maana nimeamua kutojisumbua kuwa na mahusiano mengine. Bora tu niwe single for the rest of my life.

Anyway thanks mkuu.

in red, sehemu zenye pumziko la ukweli kuzipata maisha ya leo ni ishu....
uvumilivu unamuhusu, ila umri unakimbia nao...
 
Hilo la umri pia ndilo linalonichanganya zaidi na ndo maana nimeamua kutojisumbua kuwa na mahusiano mengine. Bora tu niwe single for the rest of my life.

Anyway thanks mkuu.

sambenet,pole sana kwa yaliyokupata na hali unayoipitia..usikate tamaa inauma sana lkn jipe moyo,wewe si wa kwanza kuachwa wala hutakuwa wa mwisho! siamini kuwa umri wako ni mkubwa hivyo kiasi cha kukata tamaa, please take heart time will heal.Good cheer
 
Hilo la umri pia ndilo linalonichanganya zaidi na ndo maana nimeamua kutojisumbua kuwa na mahusiano mengine. Bora tu niwe single for the rest of my life.

Anyway thanks mkuu.

kwani una umri gani mkuu hadi ukate tamaa kiasi hicho?mbona wakina malecela wameoa wakiwa na 60+?
 
Pole sana kaka vuta subira wako yupo Mungu aliekuandalia, Usikurupuke kutafuta mwingine chukua muda, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwa muda huu.

Huyo dada amechezea bahati ambayo hatokuja kupata milele, usikate tamaa bado Mungu yupo kwa ajili yako! Kumbuka ya kuwa mke mwema hutoka kwa Mungu
 
Nina kama 30 kwa sasa na nilichelewa kutokana na kujufanya kuwa busy na masomo ila elimu haina mwisho, nikaamua kujitsfutia wangu wa ubani ila ndo hivyo tena nimeangukia pua. sina ham kabisa.

kwani una umri gani mkuu hadi ukate tamaa kiasi hicho?mbona wakina malecela wameoa wakiwa na 60+?
 
Nina kama 30 kwa sasa na nilichelewa kutokana na kujufanya kuwa busy na masomo ila elimu haina mwisho, nikaamua kujitsfutia wangu wa ubani ila ndo hivyo tena nimeangukia pua. sina ham kabisa.

mbona bado yanki kabisa,me nikadhan umri wako unamkimbilia mzee mandela ndo ukate tamaa kiasi hcho,mademu wako weng sana mkuu,jipe muda tu utamsahau huyo na utampata mwingne atakae kupenda kwa dhati.
 
Kaka pole sana kwa yaliyokukuta.Story yangu pia ni kama yako tena vile vle.Lakini sijachukua uamuzi wa kuachana na mapenzi kabisa ila kujipa muda wa kufikiria na explore new opportunities given by nature.

DO NOT ALLOW ANYONE TO LOWER YOUR SELF ESTEEM.
 
Back
Top Bottom