Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Dogo soma hacha majungu, Hadi unaenda foundation Kama ukuwa na matatizo ya kifamilia au kiafya wewe Ni mvivu...unashindwa kusoma ukipelekwa kupiga kokoto utaweza? Mbona shule Ni rahisi ingekuwa mieleka je?Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open
Ki ukweli ile mitihan haikuzingatiwa ubora kabisa
Unakuta mitihan inatungwa migumu na isitoshe huo mitihan mnafaufanya pamoja na wale wanaosoma digrii ya kwanza
Nimepoteza ada yangu bure
Bora nireseat tu form six kuliko kupiga hii kozi
Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open

Big up wa out mza tupo pamoja nipo hapa mkolani nashtua 2Mkuu pole sana,mi pia nimefanya mitiani ya foundation course, kimsingi kama hukutenga mda wako vizuri kujisomea lazima mtiani huuone mgumu,mfumo wa utungaji wa mitiani hiyo iliitaji ufahamu wako.kwa mfano swali moja la communication skills lilikuwa linasema do you read news paper and academic book the same?discuss. Sasa kama hukuelewa kwa umakini kwenye topic hiyo lazima uone mtian ni mgumu tu. Jipe moyo MUNGU yupo utatoboa tu.wale wa out mwanza region center tuko pamoja
Poa poa, jumatatu nitakuwa hapo ,tujuane member wa jfBig up wa out mza tupo pamoja nipo hapa mkolani nashtua 2
Mimi mwenyewe natokea mwanza ila naish maguBig up wa out mza tupo pamoja nipo hapa mkolani nashtua 2
Ok mnyalukolo ukukara kumagu yo!Mimi mwenyewe natokea mwanza ila naish magu
Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open
Ki ukweli ile mitihan haikuzingatiwa ubora kabisa
Unakuta mitihan inatungwa migumu na isitoshe huo mitihan mnafaufanya pamoja na wale wanaosoma digrii ya kwanza
Nimepoteza ada yangu bure
Bora nireseat tu form six kuliko kupiga hii kozi
Yeah ngwikala Ku magu muyaweeee
Mkuu ulifanya kombi gani,kama ulpiga pepa LA geography sikushangai lulalamika maana lilikuwa si lelemamaYeah ngwikala Ku magu muyaweeee
Nikweli ,ukiwa kwenye foundation course, una nafasi nzuri ya kusoma shahada tofauti na mtu anayerisitiUsijaribu kurisit utajuta
Inategemea una reseat nn? Na masomo mangapi?Nikweli ,ukiwa kwenye foundation course, una nafasi nzuri ya kusoma shahada tofauti na mtu anayerisiti
Paper la six kwa comb gani?