Bora nirudie paper la six kuliko foundation

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open

Ki ukweli ile mitihan haikuzingatiwa ubora kabisa

Unakuta mitihan inatungwa migumu na isitoshe huo mitihan mnafaufanya pamoja na wale wanaosoma digrii ya kwanza

Nimepoteza ada yangu bure

Bora nireseat tu form six kuliko kupiga hii kozi
 
Dogo soma hacha majungu, Hadi unaenda foundation Kama ukuwa na matatizo ya kifamilia au kiafya wewe Ni mvivu...unashindwa kusoma ukipelekwa kupiga kokoto utaweza? Mbona shule Ni rahisi ingekuwa mieleka je?
 
Paper la six kwa comb gani?
Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open

Ki ukweli ile mitihan haikuzingatiwa ubora kabisa

Unakuta mitihan inatungwa migumu na isitoshe huo mitihan mnafaufanya pamoja na wale wanaosoma digrii ya kwanza

Nimepoteza ada yangu bure

Bora nireseat tu form six kuliko kupiga hii kozi
 
Mkuu pole sana,mi pia nimefanya mitiani ya foundation course, kimsingi kama hukutenga mda wako vizuri kujisomea lazima mtiani huuone mgumu,mfumo wa utungaji wa mitiani hiyo iliitaji ufahamu wako.kwa mfano swali moja la communication skills lilikuwa linasema do you read news paper and academic book the same?discuss. Sasa kama hukuelewa kwa umakini kwenye topic hiyo lazima uone mtian ni mgumu tu. Jipe moyo MUNGU yupo utatoboa tu.wale wa out mwanza region center tuko pamoja
 
Big up wa out mza tupo pamoja nipo hapa mkolani nashtua 2
 
Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open

Ki ukweli ile mitihan haikuzingatiwa ubora kabisa

Unakuta mitihan inatungwa migumu na isitoshe huo mitihan mnafaufanya pamoja na wale wanaosoma digrii ya kwanza

Nimepoteza ada yangu bure

Bora nireseat tu form six kuliko kupiga hii kozi

Kunyukwa kwako ndiyo ubora wenyewe wa mtihani!! 😀😀😀😀
 
Msikate tamaa wadau Cha muhimu kupata wastani nzuri wa kwenda bachelor tu Mungu atawasaidia mtatoboa
 
Paper la six kwa comb gani?

Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).

Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)

Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.

Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)

Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3

Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.

Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,

Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom