Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaunga, May 2, 2011.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Girlfriends! Ukiambiwa uchague; kulizwa au kuliza utachagua nini?
  I use to be a good girl, but it costed me a lot of cries and sleepless nights! Then siku moja mama mtu mzima akaniambia kuwa wanaume huboreka sana na wanawake wapole, wakarimu na watiifu. Huyu mama hajui hata kusoma wala kuandika; so kajifunza hii from experience!

  After reflecting and reading about relationship nimegundua it is true, na baada ya kuanza kuwa bitch (meaning l know what l want in a relationship and l take no nonsense) nimeona inalipa! Men like challenged, so kumsumbua inaongeza mapenzi!

  What is ur experience? Ofcourse hata wanaume mnaweza comment!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Du, hiyo title balaa. Ngoja nirudie tena kusoma. A bitch? That's steep
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Taito inatisha lakini point yako nami naikubali. Hakuna mwanaume anapenda mwanamke anayejifanya mtakatifu, mlokole fulani. Mfano mkiwa kwenye game inabidi unakuwa na mautundu kwani kujifanya si mzoefu hakukusaidii kitu wala nini. Ila with your single partner/hubby; si kugawa hovyo.

  Yes I also agree most men like challenges. Wanataka mwanamke ambaye ana akili hata akifungua mdomo kuongea kitu mbele ya marafiki zake, wanasema yes, shem kichwa kinafanya kazi. Sio unaongelea kusuka nywele tu.

  A strong woman ni challenge ambayo wanaume wengi wanailalamikia lakini wanaipenda. Kwenye maisha lazima muwe mna argue on issues siyo kila kitu watingisha kichwa tu.
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bibie usijidanganye eti kuwa bitch ni afadhali, wengine tukisumbuliwa tunachana mbao na kukimbia zetu maana kasheshe la mbele ukioa bitch mhhh utakoma mwenyewe na mambo ya Beijing...Show your really character ndugu yangu sio kujifanya mpole kumbe sio...
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  We are both of them in one way or another, but mwenye kuweza ni yule anaejua when to be a b* and when to be a good girl...
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ha ha umenichekesha na kunisemea maneno hata nimeshindwa kutoa comment.
   
 7. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  to be a good girl of course.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mume: Baba Paroko nimekuja kumshitaki mke wangu.
  Paroko: Tatizo ninini?
  Mume: Mwenzangu huyu kila tunaponanihii, yeye hulia na kusema maneno yafuatayo:
  -Ooohhh Jesus....Uhhh!..mARIA mtakatifu...yesuNibembeleze nibebe....gOD YOU are so sweet!....ohhhh.ohhhh, yohana Mbatizaji!...ohohhhoooooooooooooooooooooooo!!!mTKAtifu Thersia wa mtoto yESU!
  Paroko: kwahiyo shida ninini?
  Mume:ananiboa sana na hayo maneno, na kunikatisha mzuka!
   
 9. o

  ombeni Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimecheka sana usiku mwema.
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  aah aah aaahh uuwiii...oooh jesus,msamehe uyo dada aliyelalamika kwa jina lako maana hajui alitendalo.
   
 11. i411

  i411 JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kuwa good girl fulltime lakin a bitch kitandani mwanaume lazima apagawe…... hapo utakuwa umekamata a bull by its horns
   
 12. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  something funy to you na majuha wengine,lakini kwangu naona kama ni kudhalilishana kiimani...Hao manabii sisi christian tunawarespect,and we expect you also to do the same snitch
   
 13. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wakati wa majamboz ile milio ya mahaba wanayotoa wadada na mingurumo ya wababa ni kuji motivate tu kwamba am doing a good job...
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahh hii kali lol
   
 15. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nani anakomolewa after all...for the sake ya kizazi hiki bora kua good girl! Hakuna alomcha mwenyezi Mungu akapata mume kimeo..ukiona umepata kimeo chunguza mwenendo wako!
   
 16. vena

  vena JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaah wapi...sio kweli hata kidogo coz fro a bit of psychology we, men are very less tolerant.a lot of us ukitusumbua we look for some place to relax zaid zaid kama a man yupo so deep in love...(shit)....ata cheat. sa ni vyema kumtanbua vyema jamaaa wako what he likes he should know what u like sa as to matchan decrease diferences...saasa ukiwa bitch at last no one will like you coz no one need a Bit***h galfriend
   
 17. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  be u...if u r a gud gal then cntnue to move that way...Mapenzi ya sasa yanalana yasikubadilishe you just live your life...
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda!
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  I get you! That not all men like challenges! Ingawa nina reservations. Kuna mtu hapa JF alushawahi kuja na complain kuwa wanawake hupenda masharobaro wanaowasumbua: maybe wote twapenda kuhangaikia kitu ili tuone thamani ya hicho kitu!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  In other words; to be the one to cry!
   
Loading...