Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

Dah!Nimeshtu baada ya kuiona ID ya zamani ya AshaDii(ilikua Asha D)
'
Kumbe li sired la mwaka juzi!
 
Last edited by a moderator:
Good girl ni sanaa kwa maoni yangu yaani unakubali hata kujinyima matamanio yako ili uwe nice kwa wengine/mwingine, so ukiwa yourself mara nyingi (kimjini mjini) unakuwa labelled as a 'bitch'.

Na ndio maana niliiweka defn yangu ili nieleweke neno hilo nimelitumia nikimaanisha nini.
you should be real. ukikwazika sema, akikufurahisha sema; ukijifunga then utakuja kulipuka baadae na kudai "nimejinyima/vumilia mengi kwa ajili yako" ambayo sio fair for either of you and leads to chuki and those 'really bad break-ups' ambapo mnachambana till the end.
 
Mume: Baba Paroko nimekuja kumshitaki mke wangu.
Paroko: Tatizo ninini?
Mume: Mwenzangu huyu kila tunaponanihii, yeye hulia na kusema maneno yafuatayo:
-Ooohhh Jesus....Uhhh!..mARIA mtakatifu...yesuNibembeleze nibebe....gOD YOU are so sweet!....ohhhh.ohhhh, yohana Mbatizaji!...ohohhhoooooooooooooooooooooooo!!!mTKAtifu Thersia wa mtoto yESU!
Paroko: kwahiyo shida ninini?
Mume:ananiboa sana na hayo maneno, na kunikatisha mzuka!

Ha ha ha ha....People mna vituko khaa..q
 
The point is usiumizwe! Ni bora kuumiza kuliko kuumizwa! If u r smart enough not to take any shit from any man then u r a woman and ahalf!

Unavuta shuka wakati alarm ndo inakuamsha!!? Asubuhi tayari mama!
Ni taarifa tu mkuu!
 
Girlfriends! Ukiambiwa uchague; kulizwa au kuliza utachagua nini?
I use to be a good girl, but it costed me a lot of cries and sleepless nights! Then siku moja mama mtu mzima akaniambia kuwa wanaume huboreka sana na wanawake wapole, wakarimu na watiifu. Huyu mama hajui hata kusoma wala kuandika; so kajifunza hii from experience!

After reflecting and reading about relationship nimegundua it is true, na baada ya kuanza kuwa bitch (meaning l know what l want in a relationship and l take no nonsense) nimeona inalipa! Men like challenged, so kumsumbua inaongeza mapenzi!

What is ur experience? Ofcourse hata wanaume mnaweza comment!
Mtoto wa Chigoma unataka kuwa bitc.........mbula!! wacha kabisa hayo mawaso dadaangu.....yele-uuuuuiiii
 
Michelle yuko sawa jamani Kaunga my future ni gud boy ananiboaje?sometimes namchallenge ila mmh yani hata sielewi ndani ya nyumba tutaishije?
Hivi ye mtu gani hata kosa siku moja hafanyi?sometimes nahisi kama namuonea hata vistress vidogo hanipi yaani anasababisha najinenepea tu lo.
Kuwa gud girl or bad girl inamboa partner wako?huwa natamani aingie huku mmu apate darasa ye yuko jukaa la technology na matangazo madogo madogo loo
Nakubaliana nawe 90%
 
Yaani Amu kila kitu na wakati wake,ipo siku utachoka na bad boys na ukahitaji kutulia,tafuta tu namna ya kumfurahia good man wako. Wanaume wazuri wako wachache sana. Mthamini sana and keep him. Zaidi mheshimu,he will make a good dad and husband.
 
Upo sahihi hayo yote nayajua ila kuboreka jamani tatizo nlizoea wa kunipa stress loo

Back
Top Bottom