Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,401
- 3,938
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenza...
Unatumia username ngumu nikajua una akili.Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Unatumia username ngumu nikajua una akili.
Picha mkuu, tuwekee mapichapicha na video jinsi wanavyofanya kazi za kusafisha vyoo na kuosha mavyombo!!Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Hakika.Sasa sote tukiwa wanasiasa nani atakuwa bodaboda? Nani atakuwa mwalimu? Nani atakuwa nurse? Nani atakuwa mwanasheria? N.k. Ifike sehemu tuheshimu kazi ya kila mmoja. Tunategemeana.
Unatumia username ngumu nikajua una akili.
Ccm ijawai kuwa na akili ?Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Siyo bodaboda pekee zaidi ya mbunge, Lema anaanzisha usafiri wa angaMimi sio mpinzani ila naamini kipato cha msafisha vyoo wa Canada ni kikubwa kuliko bodaboda wa tz
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Utajua wapi wewe mama mjamzitouna kichaa wewew Labda 3 bodaboda lkn jiulize 3B au 3T
Hapo kwenye usafiri wa anga umetupiga, hana ubavu huoSiyo bodaboda pekee zaidi ya mbunge, Lema anaanzisha usafiri wa anga
Kwamba kuanzisha usafiri wa anga ni pesa ndogo kiasi hicho.Ulivyo chizi umekalia ubea, Lema amepata capital ya 3B kuanzisha usafiri wa anga, 3B hata muuzwe ukoo wenu wote hamuwezi kufikia hicho kiasi
Mfano kwa US mtu asiye mvivu hawezi kosa 100 kwa sikuHuyo mfagia vyoo wa Canada anatengeneza hata mara 10 ya mshahara wa mfanyakazi wa serikali ya Samia.