[emoji23] [emoji23] hii hatari Sana.Unashangaa ilo????.
Komando X mwenye nyota mbili ,, katoka out na mke wake na rafiki wake ( bwana harusi mdogo )
Heee jamaaa kaenda choon ,, kurudi anakuta Dem na Rafiki wanakulana madenda ....kudadeki ,,, Jamaaa komando alimvunja vunja jamaa ,,wanapeleka hospital ,, Dr anaulizwa Huyu MTU kagongwa nagari yaaina gani ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Popote ulipo Komando weee ninomaaa ulitishaaa .
mmmhh kweli huyo mwanamke hajitambui,, mimi ningemuuwa taratibu bila ku2mia nguvu. ,,
Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu.
Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane.
Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.
Sawa mdada alikosea, lakini kwa nini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi?
And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?
Bora Kumwacha Mtu Kuliko Kumuumiza..
Weee acha mkuuu ......Ski yanani komando kumbe Yale mafunzo ya kukunja nondo huwa wanalengewa watu.[emoji23] [emoji23] hii hatari Sana.
Hata ingekuwa Mimi aseee..yaani kweli umwache mwanangu wa miezi nane ndani halafu nikuache tu na kaex kako eti mnakula bata?? Nakucharaza zaidi ya huyo
Nakulegeza kama kama tunda kwenye blender ya kukuacha yatafanyika baadae.
Yaaan ungemuuwa mumeo au ?¿?mmmhh kweli huyo mwanamke hajitambui,, mimi ningemuuwa taratibu bila ku2mia nguvu. ,,
Kama naona alivyokuwa anakunjwa dah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee acha mkuuu ......Ski yanani komando kumbe Yale mafunzo ya kukunja nondo huwa wanalengewa watu.
Jamaa alikua anakunja mkono km anakunja waya ya aluminiamu ,miguuu anakunja yaan utazan hamna mfupa ..daahhhhh Usijicjanganye kutembea namadem Wa hawa watu ,usipokufa unapewa ulemav wamaisha.
Hivi broh na Wewe unashusha mijeledi kwa wanawake tutakuachia laana ujueyaani kweli umwache mwanangu wa miezi nane ndani halafu nikuache tu na kaex kako eti mnakula bata?? Nakucharaza zaidi ya huyo
Nakulegeza kama kama tunda kwenye blender ya kukuacha yatafanyika baadae.
Sasa sis labda ebu leo nikupime.Hivi broh na Wewe unashusha mijeledi kwa wanawake tutakuachia laana ujue