Bora kuishi na Mchawi kuliko Mlalamishi

Bora kuishi na Mchawi kuliko Mlalamishi

Wakati wa uchumba halalamiki hata kidogo, ni mwendo wa usijali baby, hakuna shida. Loooooo akiingia ndani ndo utakoma.

Ndoa hainifanyi nishindwe kumuacha mtu, weka pembeni move on,
 
Siyo mpenzi tu, hata Rafiki au Co-worker mlalamishi hafai kabisa..

Of the things i hate, ni mtu kulalamika na kunung'unika muda wote....
 
Kwangu mimi bora huyo mlalamishi kuliko mnafiki.
 
basi afadhali anayelalamika, kuna wale wanaonung'unika...ni sheedah!
 
Usiombee mchawi bora huyo mlalaamishi uendelee nae,mueleze atakuelewa tu
 
Back
Top Bottom