Bora kuishi na Mchawi kuliko Mlalamishi

Bora kuishi na Mchawi kuliko Mlalamishi

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,209
Reaction score
5,447
Usiombe uwe na partner (Mke/mume/bf/gf) mlalamishi. Aisee Ni shiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaa. Yaani all the time hakuna jambo zuri kwake.
 
kwaio ndo unaona ni bora mchawi?
Hivi unamjua mchawi au wajisemea tu.....?
 
ila ukweli mtu mlalamish huwa anaboa sanaaa

mie ata wanangu wanajua kabisaa ukija ni mtu wa kulalamika klalamika tuu wanajua wanahatari ya kuamsha yaliyolala buree
 
Heri kukaa jangwani kuliko kukaa nyumbani na mwanamke mpumbavu,Mwanamke anayebwabwaja bila kituo ni janga.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4.
 
Heri kukaa jangwani kuliko kukaa nyumbani na mwanamke mpumbavu,Mwanamke anayebwabwaja bila kituo ni janga.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4.[/QUO

saa nyingine unaweza fikiri unachangia kumbe unatusema yaani mama Ngina wa kwangu ni janga hanaga zuri napata shida mpaka watoto nimekimbiza boarding
 
hahahahaa pole mkuu Muombee kwa Mungu aweza mbadilisha siku moja,wakati mwingine ni kumsikiliza tu mpaka mate yamkauka mdomoni ananyamaza mwenyewe.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 
kwaio ndo unaona ni bora mchawi?
Hivi unamjua mchawi au wajisemea tu.....?
Ndugu hujasoma kiswahili nini? Hapa najaribu tu kuonyesha kuwa mtu mlalamishi ni si mzuri kama ilivyo kwa mchawi. Neno mchawi ni kama kivumishi tu.
 
Usiombe uwe na partner (Mke/mume/bf/gf) mlalamishi. Aisee Ni shiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaa. Yaani all the time hakuna jambo zuri kwake.

pole mkuu..hapo kwenye wachawi unamaanisha wale wa Gamboshi au?
 
ila ukweli mtu mlalamish huwa anaboa sanaaa

mie ata wanangu wanajua kabisaa ukija ni mtu wa kulalamika klalamika tuu wanajua wanahatari ya kuamsha yaliyolala buree
Bora asiwe mume/mke. Ila kama ni mume au mke ni hatariiii, usiombee.
 
Ndugu hujasoma kiswahili nini? Hapa najaribu tu kuonyesha kuwa mtu mlalamishi ni si mzuri kama ilivyo kwa mchawi. Neno mchawi ni kama kivumishi tu.

unatakiwa utumie vivumishi vinavyoendana na muktadha, iyo chuku imezid mkuu
 
Aisee hii topic inanihusu kwa namna Moja ama nyngne.
Yaan usithubutu kukutwa,kwake hana jema.Hata umtendee jema kiasi gani,wala haelewi ulalamishi uko palepale,Ukiwa mkali na ww kidgo ananywea,
yaan akiingia tuu ndani,vijana wanatoka.Akitoka barazani pia wanamkimbia.Ilifka steji akawa anamuuliza Mkewe,kwa nn nikiingia woote wanasambaratika?
"mii nikija niongee na wanaume wenzangu tubadilishane walau mawazo,unakuta hata kama walikuwa wanachek movie wanatwanyika woote"kumbe sbb ya ulalamishi na kunung'unika kwake kila aongeapo kitu.
Aisee sikuwahi kuish na mtu wa dizain hii b4,sasa nimeona.
Yaan ni shiiida,kuna mengi ya kuandika,ila haisaidii kitu.Bali hapa tunafndshana namna ya kuishi nao.
 
Hadi unamuoa ulikuwa hujui kuwa yeye ni mlalamishi??
 
Hadi unamuoa ulikuwa hujui kuwa yeye ni mlalamishi??
Wakati wa uchumba halalamiki hata kidogo, ni mwendo wa usijali baby, hakuna shida. Loooooo akiingia ndani ndo utakoma.
 
haa haa weye mchawi ni noma bora huyo mlalamishi. mchawi hana maana kabisa
 
Usiombe uwe na partner (Mke/mume/bf/gf) mlalamishi. Aisee Ni shiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaa. Yaani all the time hakuna jambo zuri kwake.

Sidhani kama kweli umeshawai kuishi na wrote.. mlalamishi na mchawi....
Kama umeshawai kuishi na wote na ukaona bora mchawi..... basi mtafute mchawi uishi nae ili usiendelee kusumbuka.
 
Back
Top Bottom