Bora chadema ife tu

Bora chadema ife tu

Haya mambo ya utekaji yataondoka
Unaona ilipokufa cuf Zanzibar imetulia?
Ikifa chadema haya mambo ya watu kupotea yataondoka.
Yaani ife kisa watu wanateka watu ?
Itakuwa upumbavu kabisa
Badala ya kukemea watekaji wajue nchi ni watu wote unawapa kichwa kuendelea na huu upuuzi
 
Chama ni kama chumba na Wapinzani ni mpangaji, nyumba ikibomoka watu wanahamia nyumba nyingine.. Chadema yenyewe enzi hizo za akina NCCR, CUF na TLP haikuwa na hizo nguvu, ila utaona wengi walitoka huko wakaja Chadema walipoona waliko upinzani umekufa.
 
Back
Top Bottom